Lawama zote za umeme ziwaendee Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu

Kitila na Mchechu ndiyo wenye dhàmana ya kuhakikisha mashirika ya umma yanafanya kazi ipasavyo au yana reform au yanakuwa rebuilt au yanafutwa kabisa.

Best option kwa tanesco ni Rebuilding tu kwa sababu Reforms zimefanyika nyingi na zimeshindwa kutatuwa matatizo.
Vi-terminologies kibao vya porojo tu
 
Swali gumu linaloulizwa na Watanganyika wengi ni kwa nini Katika kipindi cha Miaka takribani Sita ya Utawala wa CCM chini ya JPM, nchi haikushuhudia mgao wa umeme kama ilivyo sasa , ilihali Shirika la umeme ni lile lile?

Maoni yangu: Tanesco inaathiriwa zaidi na Ukosefu wa Utashi wa Kisiasa. Kuna mtu mwenye uwezo wa kutamka na matatizo yote ya umeme yakakoma nchi hii. Lakini kwa kuwa ameamua kupiga kimya, tuendelee kula maembe.
 
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.

Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.

Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?

Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".

Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.

Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.

Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.

Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.

Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?

Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?

Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
Unawaonea!
Achana na mbwa dili na mwenye mbwa.
 
Hakuna cha roadmap wala ushuzi, watu wanataka umeme hawataki porojo. Hiyo roadmap ukute hata huyo mjinga aliyeiandika hayupo tena.

Ethiopia wametoka kwenye janga la vita vya muda mrefu, wametoka kwenye njaa na umasikini wa mwisho duniani na kwa muda mfupi wameweza, sisi tumelala wapi?
Hawakutoka walipokua kwa post za kigagula foxy waliweka long term roadmap that risked hata vita kati yao na egypt

We endelea kupiga chapa 24/7 Maana ndio unachoweza,

Kosa inalofanya Tanzania ni kusikiliza vibweka kama wewe, Siku tukiacha nchi itakwrnda vizuri

Roadmap ya tanesco Iko vizuri sana
 
Hapo kwa kila mkoa hapana !

Chengachena hivyo.

Kwa Sasa kila mkoa una meneja wa Tanesco na subordinates zake.

Sema kuna namna ya kufanya ktk kuboresha ufanisi lakini sio Eti kila mkoa uwe na Tanesco yake hapana.
 
Huenda pale juu pale [emoji115] ndipo udhaifu ulipo.

Sasa kule chini wanacheza na beats.

Kukatwa kwa umeme ni zaidi ya tatizo.

Wananchi wamechoka !
 
Kulikata vipande Tanesco haitoleta tija zaidi litayumba haijawahi tokea, shirika lipate safu nzuri ya Uongozi kuanzia Waziri, Katibu mkuu, Mkurugenzi yaani viongozi wafuatiliaji siyo wa kukaa nyuma ya pazia kuvizia upepo kama alivyokuwa Jmakamba na DBiteko sasa. Tanesco ni dude moja kubwaaaa linataka mtu makini sana shida za umeme zitakuwa kitendawili yote yanaanzia Kwa mtawala akiwa na uthubutu linanyooka vizuri tena Kwa muda mchache, Raisi SSH ajivishe Bomu la Tanesco maana zigo ni lake Kwa tukio lolote.
PIA tanesco iachwe ifanye kazi

Ukisikiliza media sasa wanaoongea ni mawaziri badala ya mkurugenzi wa tanesco
 
Alikuwepo Kalemani akabadilishwa kimizengwe wakaletwa watu siyo wajuzi yule mandondo na marope wakaharibu kabisa
 
Hakuna kunyooka wala kupinda. Hatuna uwezo wa kuendesha vishirika vidogo vya umma kama mwendokasi tu, tutaweza jishirika kubwa namna hiyo?
Mwendokasi ni michezo ya watawala tu ule mfumo si mkubwa kihivyo hadi ufikie kuchoka vile, Mwenye nchini anahizoofisha Tanesco pakubwa Kwa kutoweka usimamizi mzuri pale.
 
Acheni lawama, mama alishasema mwisho wa umeme kukatika ni mwezi wa tatu...waacheni TANESCO watekeleze majukumu yao halali
Mama yake nani amesema, tuliambiww Bomba la gas likifika hapa Dar mgao wa umeme utakuwa ni historia, lakini Hadi Leo ni porojo tupu. Sasa tunaweza vipi kuendelea kuamini ahadi mpya toka kwa waongo wale wale wa muda wote?
 
Maharage alikuwa na akili za kuuza madish ya DSTV na sio kuongoza dude kama Tanesco!
Ndio maana watu wanasema Rais Samia kwenye hizi teuzi anachomekewa!
Yule jamaa alikuwa na ufahamu mzuri wa namna ya kufanya biashara na ndiko alipokuwa analipeleka shirika kuanzia Kwa kitendo cha kuiomba serikali ifute deni sugu la shirika ni hatua nzuri sana ya kujiendesha Kwa huduma Bora na nzuri , shida ilikuja watu waliompigia pande walitaka wafanye Kwa maslahi zaidi. Maharage amefanya Wahandisi wengi Tanesco wanajiendeleza kielimu Kwa hatua ya master's baada ya kuona shirika lilipaswa kuwa na wataalamu walio na tija ya kuleta mabadiliko na si vilaza waliojaa majungu kila Kona za ofisi.
Lawama zote ni Kwa Raisi SSH anajivua katika kuwajibika dhidi ya usimamizi imara wa Tanesco.
 
PIA tanesco iachwe ifanye kazi

Ukisikiliza media sasa wanaoongea ni mawaziri badala ya mkurugenzi wa tanesco
Haaaaa! Pale kuna Mkurugenzi au Shati tupu , Yule ni mweupe na vile ametishwa Kwa kauli za mtawala Kwa kumpa kipindi cha uangalizi miezi sita. Hakuna anachofanya zaidi ya kusikia ushauri Kwa role modal wake Mramba failure wa kitambo ambaye BITEKO amemuachia shamba afanye atakavyo.
Nenda Tanesco mikoa au wilaya yoyote hapa nchini Kwa sasa hawana kazi za maana kisa no materials wapo kubuzi buzi na kungojea twiga ainame wapite kushoto sasa MD anashindwa ingiza vifaa Kwa kufanya operations za shirika na ikiwa bajeti zipo, hapo utasema kuna kiongozi au Shati hii ndiyo maana unaona taarifa nyingi anaongea PS wa wizara wakati kipindi cha Jmakamba na Maharage aliwekwa mfukoni Kwa kutokuwa na ubunifu wa kuwapatia wananchi umeme wa uhakika.
 
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.

Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.

Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?

Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".

Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.

Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.

Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.

Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.

Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?

Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?

Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
Tatizo ni Ccm na serikali yake
 
Bila kubomoa mfumo wa uongozi wa nchi yetu ni bure. Shida inaanzia namna tunavyowapata viongozi wetu na wanaposhindwa kuwajibika hakuna namna ya kuwafanya. Ukitaka kuiboresha Tanesco anza kurekebisha namna rais anavyopatikana na majukumu yake. Vinginevyo, kuangalia failure za ngazi za chini tu ni kama ukichaa.
 
Haaaaa! Pale kuna Mkurugenzi au Shati tupu , Yule ni mweupe na vile ametishwa Kwa kauli za mtawala Kwa kumpa kipindi cha uangalizi miezi sita. Hakuna anachofanya zaidi ya kusikia ushauri Kwa role modal wake Mramba failure wa kitambo ambaye BITEKO amemuachia shamba afanye atakavyo.
Nenda Tanesco mikoa au wilaya yoyote hapa nchini Kwa sasa hawana kazi za maana kisa no materials wapo kubuzi buzi na kungojea twiga ainame wapite kushoto sasa MD anashindwa ingiza vifaa Kwa kufanya operations za shirika na ikiwa bajeti zipo, hapo utasema kuna kiongozi au Shati hii ndiyo maana unaona taarifa nyingi anaongea PS wa wizara wakati kipindi cha Jmakamba na Maharage aliwekwa mfukoni Kwa kutokuwa na ubunifu wa kuwapatia wananchi umeme wa uhakika.
Kwahiyo maharage arudi?
 
Umesahau kuna shirika la umeme la mkoa mmoja uliozungukwa na maji, ambalo halizalishi umeme wake na halilipi kwa shirika mama, kazi yake ni kuchukua mapato na kuyaweka kibindoni
Zanzibar wanakula umeme wa bure umeme wanatoa bara afu hela hawalipi tuanze na hili kwanza
 
Kwahiyo maharage arudi?
Haimaanishi hivyo ingawa alikuwa na maono mazuri sana Kwa Tanesco yenye ufanisi na tija Kwa Taifa, akaingiwa na tamaa baada ya kuona kumbe hili shamba kuuuuubwa naweza jipigia nitakavyo hapo pakawa shida akiwa na mshirika wake waziri husika.
Pale wapate brand nzuri yenye ufahamu zaidi ya Maharage Kwa mashirika makubwa namna ya uendaleshaji wake huku nyuma akiwa na wasimamizi wengi wenye kufuatilia kila Jambo hata la Namtumbo kule.
 
Back
Top Bottom