Lawama zote za umeme ziwaendee Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu

Tatizo siyo kuunganishwa au kutokuunganisha kwenye gridi ya taifa. Gridi ya taifa hakuna zaidi ya switching tu, na hilo linaweza kufanyika hata kwa mashirika tofauti.

Chukulia mfano wa EU (nchi za muungano wa Ulayo) kila moja ina kampuni zake za ufuwaji wa umeme na ina grid yake na pia wana grid ya Ulaya nzima wanaiita {Synchronous Grid). na haijawa tatizo.

Ushauri wangu ni tanesco ibomolewe iwe kuna shirika la umeme kila mkoa, iwe la serikali au binafsi haijalishi. Bila hivyo hatuna ujanja zaidi, hatuwezi kwa sasa na hatutoweza kwa miaka 100 ijayo kuendesha mashirika ya umma makubwa, hususan ya huduma, kama lilivyofikia Tanesco.

Kumbuka, uchumi kila unavyokuwa na mahitaji ya umeme yanaongezeka. Tanesco kitaalam tunasema limesha "bust".
Unapoint ila wawe makini tu wasije ongeza tatizo kabisa.
 
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.

Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.

Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?

Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".

Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.

Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.

Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.

Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.

Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?

Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?

Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
shida maharage na Makamba
 
Hawatathubutu kamwe kuliweka rehani Tanesco wataishia kupima maji Kwa fimbo tu, Shirika ni kubwa mno lakini likipata msukumo wa siasa nzuri litanyooka mapema hapa Mh Raisi ni kuweka mtu makini mwenye weledi wa wafanyacho Tanesco mengine yatakuwa hadithi.
Ndani ya shirika wapo wataalamu wengi lakini weupe mno kichwani ndiyo maana hata kwenye vetting hawatoboi ingekuwa kete nzuri sana la kulinusuru shirika, akili kama za Maharage zilikuwa nzuri mno shida ni vile jMakamba alikuwa na agenda zake nyuma ya pazia dhidi ya kiti kile pendwa.
Maharage alikuwa na akili za kuuza madish ya DSTV na sio kuongoza dude kama Tanesco!
Ndio maana watu wanasema Rais Samia kwenye hizi teuzi anachomekewa!
 
Makamba na Maharage wawajibike kwa mkataba wa mabillioni ya shilingi walioingia na wahindi kununua software bila kufanya uchunguzi wa nini kinasababisha huduma duni za Tanesco!
Matatizo ya Tanesco ili kuyatathmini ni lazima uyagawe katika makundi matatu. Makindi hayo ni; Uzalishaji, usafirishaji na usambazaji. Hitilafu ikitokeo kwenye moja ya shuhuri hizo lazima kutakuwa na mgao wa umeme!
Mara nyingi hatuambiwi ukweli kuwa tatizo liko wapi ndio maana mara watasema hakuna maji ya kutosha hata wakati wa masika! Mara utaambiwa vinu vya kuzalisha umeme vinakarabatiwa; siku nyingine utaambiwa system ya Luku imekorofisha.
The only viable solution to the Tanesco problem is not privatization as some in planning commission would propose ( especially those Brokers within the commission) but to divide it into three separate entities namely;
Generation
Transmission and
Distribution.
Hapo itakuwa rahisi kuyagundua matatizo na kuyatafutia ufumbuzi. Tanesco as it is now is too big!
Eti unanunua software bilioni 70, jangili kabisa lile
 
Mbona jpm aliiweza tanesco

Hawa sasa vp

Ova
 
Rais anateuwa watendaji, unataka Rais awe fundi wako wa umeme?
Kwanini asisimamie? ingekuwa TANESCO inafanya vizuri ungesikia mama anaupiga mwingi, Makamba kaenda kununua software bilioni 70 na siyo mtambo software. shame on us
 
Hakuna kunyooka wala kupinda. Hatuna uwezo wa kuendesha vishirika vidogo vya umma kama mwendokasi tu, tutaweza jishirika kubwa namna hiyo?
Wakati wa jpm!ulikutana na mgawo

Mlikuwa mnatereza tu

Ova
 
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.

Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.

Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?

Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".

Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.

Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.

Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.

Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.

Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?

Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?

Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
Dada mkubwa FaizaFoxy umeleta uzi usiokuwa na logic kabisa. Swali tu dogo kipindi anafariki Dkt Magufuli umeme ulikuwa unakatika?????? Jibu umeme haukuwa unakatika. Na je baada ya Dkt Magufuli kufariki na tukawa na Dkt Samia na wizara ikawa chini ya Dkt Kalemani je umeme ulikatia???? Jibu hapana chini ya Dkt Kalemani umeme haukuwa unakatika. Tatizo la umeme kukatika lilianza mara tu ya jizi January na Jizi Maharage walipopewa wizara, waliingia na mkakati wenye maelekezo ya wazungu na maadui zetu kuhakikisha umeme unapatikana kwa shida ili nchi washindani waweze kuendelee kutunyonya, hivyo tatizo la Umeme ni la Dkt Samia 100%, na yeye ndiye mhusika 100% aliyesimamia nchi iingie gizani. Na wamamuweka Dotto hapo wizarani lengo ni kumsafisha January kwa sababu wanajua fika walivyoharibu miundo mbinu ya umeme na kuhakikisha watu wao wa kuhakikisha umeme haupatikani wapo basi hata akija nani umeme uwe shida ili January aonekane hana shida.
 
Mbona jpm aliiweza tanesco

Hawa sasa vp

Ova

Soma post yangu hiyo kwenye mada nyingine
 
Bila kutafuna maneno, TANESCO ni shirika la umma lililoshindwa kabisa kufanya kazi zake ipasavyo.

Reforms za mashirika yote ya umma kwa sasa zipo chini ya Kitila Mkumbo na Nehemiah Mchechu.

Hao mabwana wakubwa wawili wameshindwa kuyaona yaliopo Tanesco> Wameshindwa kuelewa kuwa Tanesco hakuna "reforms" zitakazofanyika na kuwaokowa Watanzania na janga la umeme?

Sababu kila namna zitatolewa, lawama zitapelekwa kila mahala, sababu za kujitetea zinazoingia akilini hatzitokosa kuwepo, lakini ukweli ni kuwa Tanesco limekuwa ni shirika kubwa sana lisilo na faida (Huge White Elephant".

Ushauri na nyinyi kifanyike hatraa sana? Hakuna zaidi ya kulikata kata shirika na kulipunguza ukubwa wake.

Tanesco ianze kubomolewa kimikoa. Kila mkowa uwe na shirika lake la Umeme la kujitegemea, tuuziane umeme kimkoa. Simple and straight foreward solution.

Tuanza na mkoa mmoja mmoja hataka sana. Kila mkoa uwe na shirika lake la umeme.

Nje ya hapo, hata mabwawa yote, pamoja na bwawa jopya la Steigler, yazalishe umeme kwa 100% pamoja na vinu vyote vya Kinyerezi na IPtL na majenereta ya kizamani yazalishe, bado tatizo litakuwepo na pengone litazidi.

Kila mkoa ujipatie shirika lake la umeme na watendaji wake, ndiyo njia pekee iyayowezesha "monitoring and evaluation" ya ufanisi. Nje ya hapo tutapigana porojo kila siku.

Kitila na mchehu na ujanja wenu wote wa maneno, mmeshindwaa kuliona hilo? Au mmefungwa mikono? Mnalo la kujibu kwa Watanzania. Au mtueleze wazi kuwa TANESCO haipo chini yenu?

Kuilaumu serikali yote na kuilaumu tanesco yenyewe, ambayo haijuwi la kufanya utabaki kuwa ni ujinga tu. Wenye dhamana ya mashirika ya umma kwa sas ni hao watu wawili. Waje watueleze wamefanya, wanafanya nini kuhusu tatizo la daima la TANESCO?

Kuendelea kulilea shirika la TANESCO, unakuwa ni uongozi wa zima moto, utazimwa moto unapowaka lakini baada ya muda unaanza tena. Ukweli ni kuwa Reforms zimeshindikana Tanesco, tuingie kwenye Rebuilding ya Tanesco. Uta Rebuild bila kubomowa? Mawee.
umetoa wazo zuri sana
 
Soma post yangu hiyo kwenye mada nyingine
Niliisoma na nilijibu huko.
 
Kuna watu ukisoma mada zao unatakiwa ujue na historia za uandishi wao. Yaani una muacha waziri ambaye tangu ameingia ni shida tu wizarani tena akidanganya mara kadhaa publicly hakafu unamfuata mtu wa reforms unamuacha mtu aliye haribu shirika.
 
Hamna kitu humo.

Blanket zito la dini alilojifunika limemuondolea ufahamu wote.
Udini unamsumbua, huko apewe mapande yake stahili na wachangiaji wa mada husika.

Lakini hii ni mada ya kuitenganisha TANESCO kimikoa. Mjadala na hoja sio dini unless you want to make matters personal.
 
Wakati mgao umepamba moto mwezi July na wewe ulipokuwa busy na udalali wa kuuza bandari.

Kuna mdau mmoja alilalamika makali ya mgao yanavyomuumiza ukamjibu kuwa anunue solar panels au generator.

Wakati ule waziri alikua ni Makamba sasa hujiulizi damage kubwa ya shirika nani alipaswa alipe kabla ya kubadili waziri.

Yes hao uliowataja ni mizigo ila waziri aliyepita ndio alikua mzigo mkubwa na kwa nchi zilizo na watu wenye kujitambua hakupaswa kuhamishwa shirika bali kuwepo gerezani.

Pole sana najua kupazia sauti mgao lazima umeguswa sehemu fulani na ndio tabia yenu wanaccm ya unafiki matatizo yakitokea mnajitoa hadi yawaguse ndio akili zinarudi.
 
Kuna watu ukisoma mada zao unatakiwa ujue na historia za uandishi wao. Yaani una muacha waziri ambaye tangu ameingia ni shida tu wizarani tena akidanganya mara kadhaa publicly hakafu unamfuata mtu wa reforms unamuacha mtu aliye haribu shirika.
Umegusa nilipo kwepa kusema[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom