secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
MWAMBIA ASIMAMISHE KIFO CHAKE KAMA ALIVYOMSIMAMISHA LUHAGA MPINA KUHUDHURIA VIKAO VYA BUNGE.Akiomboleza Kifo Cha Mkuu wa Mipango hayati Mafuru Ukurasani X Spika Dr Tulia ameandika " I hate death"
Dominica Njema
Kwamba Anachukia KifoAngeandika Kwa Kiswahili,,,Angefanya la Maana Kwerii Kwerii
Kama sehemu ya ''L" umeweka "R" basi niamini mimi hata angeandika Kiswahili isingesaidia kitu.Angeandika Kwa Kiswahili,,,Angefanya la Maana Kwerii Kwerii
😂😂😂Kama sehemu ya ''L" umeweka "R" basi niamini mimi hata angeandika Kiswahili isingesaidia kitu.
Hivyo tuwaseeeje wale ambao wanawahishwa?Hakuna anayependa kufa.
Wewe Bibi ujana wako ulikuwa balaa!Hiyo kila mmoja ajaze kivyake anavyoelewa yeye.
Well said. Kuna huyu mkuu wa taasisi ya kusimamia fedha kwa sasa ameungaunga elimu ile mbaya. Haijawahi kutokea tangu uhuru hii taasisi kuongozwa na mtu asiyekuwa na exposure na mwenye CV nyepesi kama huyu.Hawa wengi wao elimu zao za magumashi sema tu wanabebwa na ma Godfather wao wengi wao wamesoma hapo IFM, diploma za Banking wakawa chawa wa maMD waliokuwepo enzi hizo na kukabidhiwa vijiti vya u CEO, utaona mtoa CV hajaandika shule na vyuo alivyosoma, wapo wengi kwenye taasisi za kifedha hasa benki.
Aisee wewe mtoto WA juzi, huyu aliingia sector ya bank mwishoni wa tisini mkapa naingia 1995 ndio kaanza kuuza. It means asingekuwa na maamuzi coz was very juniorAlikuwa jizi,tu, wala simungunyi maneno,huyu na mkapa, ndio waliuza NBC benk kwa bei ya kutupa, Maghu alimtumbua alipokuwa hazina,kizimkazi, akamrudisha,
TZ is better off without him, he used is expertise to plunder and steal!
Watu wasingekunywa sumu...Hakuna anayependa kufa.
Naijua hii.RIP mwamba uliyemgomea jiwe
Anapanda na kushuka kwa speed kama kwasi ataula aka jeshiBibi kumbe na weye waangaliaga connection? Nilidhania ni sisi vijukuu vyako vya tiktok tu