TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

Ila wewe kipindi cha magu ulikuwa ukisifia kila taka.
Hadi makonda akikosea wewe ni kusifu tu.
3 years later umeujua ukweli.
That is life.
 
I couldn't disagree with you more...., kama huyu ni mtumishi ambaye anatumikia taifa na anayejibizana nae ni Boss wake (mwananchi) basi ana kila haki na akili (so long as anaweza kueleweka, yaani kuongea) kwahio akiona kuna kitu hakipo sawa ni haki yake na civic duty kuuliza, kuhoji, kujibishana au hata kubishia chochote au lolote linalosemwa...

Acha huyu Mtumishi wa Umma hata Einstein mwenyewe mimi ambaye sijasoma formal education naweza kumbishia kuhusu E = MC^2 kama atakachoongea kinapingana na uhalisia wa premises zilizopo...

Kwa mtizamo wako kwamba mwenye ma qualification na MBA hawezi kujibizana na asiye na hayo madude naweza kusema hii ni hatua (metamorphosis) ya kuelekea kwenye Uchawa;

Niki paraphrase alichosema Voltaire.... “I might disapprove of what you say, but I will defend to the death your right to say it.”


By the way mimi mkulima ambaye sijasoma ninalaumu Watunga Sera wote pamoja na viongozi wa sasa kwa kuendelea kuzalisha bomu litakalotu-cost hapo kesho

 
Ukimwi sikuhizi hauui labda uwe fukara
 
Kiongozi kwa maandishi yako kuamua kujishusha ni wewe. Lakini (uwezi kuwachukulia watu usiowajua kwenye hili jukwaa) poa, walau kwa tamaduni zangu.

I know you are clever with the Einstein be it shallow arguments, but that has nothing to do with this.

Tusionopeane kwa wenye akili timamu kwa umaarufu wa JF FaizaFoxy hana hata robo ya akili dorothy Gwajima.

Fanya yote usifananishe watu wa hovyo na wataalamu wa kweli.
 
Ila wewe kipindi cha magu ulikuwa ukisifia kila taka.
Hadi makonda akikosea wewe ni kusifu tu.
3 years later umeujua ukweli.
That is life.
Sisi baadhi yetu ni wana CCM damu damu, yaani tunapenda ukweli na ndiyo maana siku zote hatusifii uchawa. Mafuru ni moja ya viongozi ambao inawezekana walitumika kuhujumu uchumi, ni sawa tu na Msechu ni magenge ya wezi. It is the matter of time bosi. Ndiyo maana mi ningekuwa ninajua nimeiba serikali na ninajua kabisa na nilifukuzwa kazi na serikali aisee bora nifanye mishe zangu lakini siyo kurudi mwenye utumishi. Cheki tu viongozi wengi wezi waliosemekana ni wezi ila leo wapo na madaraka, hivi unadhani wahusika wengine hawaoni? Hapo ni scrambles for government resources na ndiyo maana lazima wauane sana!
 
Jamaa alipewa jukumu la kutengeneza dira ya taifa 2025, na mwezi huu alitakiwa kuwasilisha rasimu ya dira. Loh
Huyu jamaa amepumzishwa aseee!.

Maana kupelekwa ile hospitali huwa si jambo la kawaida au dogo.

Lawrence pamoja na kuwa mtu wa imani kwenye dini yake, itakuwa alijitahidi kidogo kusimama na alichoamini, tatizo linakuja kwa wasiopenda msimamo wako, hapo ndipo tatizo lilipo.

Daaah!, naendelea kujifunza kilichompata legend JPM!.
 

Hayati Nyere alifariki kwa Cancer ya damu(Leukemia).Huu ugonjwa ni hatari sana.
 
Mean dira ya taifa 2050
 
Pole sana wanafamilia. Mwenyezi Mungu awajalie faraja.

Kila kinapotokea kifo cha mmoja wetu, kinatukumbusha wanadamu kuwa maisha yetu ya Duniani ni mafupi, na katika huo muda mfupi tinatakiwa kujitahidi kwa kadiri tuwezevyo kutenda mema, kutenda haki na kujitenga na kiburi.

Wale watekaji na wauaji wa wakosoaji wa Rais, wajue kuwa nao kuna siku watakufa na kuacha maguvu yote ya dola, yasiwasaidie chochote. Waziri Mchengerwa na wakurugenzi na watendaji wengine wote, wanaodhulumu haki za watu kwenye uchaguzi, wajue kuwa wanaweza kuhangaika sana kuiba uchaguzi, na hata wakafanikiwa kupora madaraka, lakini hayo madaraka yasiwafae chochote, kwani wakati wowote wanaweza kuitwa na aliyetuumba, ambapo waitike wasiitike, wataenda tu.

Tuishini kwa upendo, kwa kutenda haki, kwani waweza kuitwa nyakati ukiwa umejaa uchafu mtupu!!

Wanafamilia pileni sana.
 
Naam, umeniita?

Tatizo nini?
 
My sister out of curiosity pamoja na maakili yote (ambayo najua unayo). Ila unakatabia cha kumdhihaki ‘The Genius’ Dr Dorothy Gwajima, nikuulize tu out of curiosity kabisa kwenye kichwa chako unaakili hata ya nusu alizonazo?
Kumbe na wewe umeliona hili jambo, sijui kwani anamchukia mama gwajima, huyu dk Yuko upstairs kichwani kuliko female wote kwenye cabinet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…