TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

Ila kufa na ukimwi ni ajabu si magonjwa kama magonjwa mengine
Inategemea na akili uliyonayo, kuna madaktari wanaopata hiv kwa wagonjwa wao, kuna wanaozaliwa na hiv ,kuna cases nyingi sana ambazo hazisababishwi na uzembe wa mtu, kuna mke au mume mwaminifu ambae analetewa na mke au mume wake, ndio mitihani ya kidunia, na mwisho wa siku wote tutakufa iwe kwa ukimwi au malaria au hata bila ya kuumwa
NI swala la ustaarabu tu la kujua uongee kiti gani kwa wakati gani
Hata wewe ukifa kuna wapuuzi wachache wanaweza kukuzushia chochote na kuwaumiza watoto ,mke au ndugu zako
Ndio maana mtu akifa tumefundishwa stahiki zake,ni kuzikwa tu
 
GENTAMYCINE niliposema mapema tu mwaka huu kuwa kuanzia mwishoni mwa mwaka huu 2024 na hadi July hadi September mwakani kutatokea Vifo vya Kushtukiza kwa Wakubwa sikueleweka na nikaonekana Zamwa / Chizi
Unaweza ukasababisha waonekane walikuwa sawa kwa hisia zao
Huyu ndiyo alikuwa anaenda kuwa Waziri Mkuu ajaye 2025 ambapo Mama yenu angemteua nafasi ya Ubunge
Waziri Mkuu hatokani na kundi la Wabunge wa kuteuliwa.
 
Kwahiyo yule jamaa Tumia akili alipoandika Original plan in and out hakukosea!!?yaani operation P.J.L.K?

Naunganisha matukio tu na thread tu!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…