TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

M.A.P L.M

Nakumbuka alivyotoa maoni mchana kuhusu fedha zote za mapato ya serikali ziondolewe kwenye Bank za kibiashara zipelekwe BOT zitayumbisha uchumi ,saa mbili JIWE akamtumbua ila Mama kizimkazi akaja kumrudisha.
Alikuwa sawa huyu alitokea bank tena alikuwa CEO wa NBC
 
GENTAMYCINE niliposema mapema tu mwaka huu kuwa kuanzia mwishoni mwa mwaka huu 2024 na hadi July hadi September mwakani kutatokea Vifo vya Kushtukiza kwa Wakubwa sikueleweka na nikaonekana Zamwa / Chizi sasa taratibu nitaanza Kueleweka na huenda hata Kujengewe Sanamu langu.

Huyu ndiyo alikuwa anaenda kuwa Waziri Mkuu ajaye 2025 ambapo Mama yenu angemteua nafasi ya Ubunge ila Mchezo ule ule wa Deo Filikunjombe ambaye nae Hayati alipanga kumteua Waziri Mkuu wake 2015 umechezwa ila tofauti tu ni kwamba Deo ni kwa kutumia Chopper Mchezo wa Korea Kaskazini na huyu wa Leo ni kwa Mchezo wa Urusi ambao huwa hauna Masihara kama Maadui wakikutafuta nao.

Najua kama kuna Msiba ambao utamuumiza Mama yenu ni huu wa huyu, ila msaidieni Mama yenu kwa kumwambia ajitahidi sana awe Msiri kwa Mambo yake kwani ana Maadui ndani yake halafu kuna Vita Kubwa sana ya Makundi ndani ya CCM hasa kuelekea 2025 na kama kuna Nafasi inayotamaniwa na itaondoka na Wengi ni ya Waziri Mkuu.

Mko huru kuendelea Kunidharau kwani Nabii hajawahi Kukubila Kwao lakini sijawahi kusema Jambo lisije Kutimia mbeleni. Na ninachojua ni kwamba bado wapo Watu kama Watatu au Wanne hivi wapo katika Vita Kubwa sana na Wawili wako Nje (bench) ila ni Mafia hakuna Mfano na Mfalme wao hivyo tutarajie Misiba mingi kuanzia hiyo 2025.

Imeisha hiyo.........!!!!!!!
Akili yako unaijua mwenyewe. WM lazima atokane na wabunge wa kuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom