TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

TANZIA Lawrance Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango afariki dunia

Sasa naanza kuuelewa mchezo yule "Tumia akili " nyuzi zake zinaanza kutekelezwa pole pole!Ina maana cycle ya chura itaanza kufanyiwa kazi hasa wale wenye influence kwenye mfumo na jamii!!

Hadi mkutano mkuu wa ccm pale chimwaga mwakani mambo yatakua yamejiseti yenyewe!

Kifupi kazi imeanza!

Japo siajajua Role ya Tolu kwenye hii move in ipi!!!
Kazi imeshaanza Mkuu bado kama Watatu au Wanne hivi. Cheza na Vitu vyote duniani ila siyo Mchezo wa Mrusi Putin.
 

Attachments

  • IMG-20241109-WA0031.jpg
    IMG-20241109-WA0031.jpg
    101 KB · Views: 6
Back
Top Bottom