Nlibahatika kukutana naye kwa wavimba mcho
Ilikuwa club alikuwa na ttz alafu zimemganda
Ila naskia enz zake yuko njema ukimtokea akikuelewa ukimpa plan anakuwezesha
Kuna Figo mmja anaitwa Abba mm namjua alimtokeaga akampa plan yke ya kununua laptop used kutoka USA na kuzileta bngo
Frm wazir alimuwezesha mpunga mtaji dogo akapiga Kazi sana
Ila jamaa Frm wazir ni mjivuni(nature)
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Walimpeleka.MAHAKAMAN wakakazia hukumu ndege moja IKO pale chini AIRPORT
NAHISI sikuwanapewaa PESA yakulipia sikuzilizokaa atapata kichaa...jamaa wahunisana walishajipanga ndegezote zimechomoka hio ikapangwa inaendanairobi matengenezooo HAHAAA wajanja wakaiwahii
Utawala wa Kikwete ulikuwa na faida sana kwa watu kama hawa.
Ibara ya ngap ya ilani?Ila haya hayakuwa maamuzi yake binafsi... Nafahamu alikuwa anatekeleza ilani
Jr[emoji769]
Duh nomaMwaka 2005 wakati anafungua kampeni za kugombea ubunge kule Nyamagana nilikuwepo. Alipopewa kipaza sauti kwa ajili ya kuongea na kujitambulisha baada ya kupambwa na watangulizi wake, aliposimama akataja jina na baadae akasema ......."Mimi ndiye mgombea ubunge jimbo la ....." akalisahau jimbo akainama meza kuu pale kuuliza. Akaambiwa Nyamagana kwa sauti hadi sisi wasikilizaji tukasikia kupitia kipaza sauti na ndipo akaweza kututajia jina la jimbo.
Akapata ubunge, akapewa na uwaziri wa wizara muhimu sana nchini.
Kitabu cha Mika kinasema kinasema;
" 8 Usifurahi juu yangu, Ee adui yangu; niangukapo, nitasimama tena; nikaapo gizani, Bwana atakuwa nuru kwangu.
Mika 7:8"
Masha atasimama tena kwani anayo spirit ya upambanaji sana ndani yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa NENO la faraja na kumbusho
Jr[emoji769]
Hili neno huwa linanijenga nikiyumba.
Hakuna haja ya kufurahia anguko la mtu, tuliowahi kuanguka tunajua maumivu ya kusemwa, kubezwa na kudharauliwa, lakini Mungu anspokuinua kwa awamu nyingine huwa na UTUKUFU MKUU kwani tayari una funzo
Karibu Mshana Jr
@SweetieLee
Sent using Jamii Forums mobile app
Na washindwa daima ndio hufurahia anguko la wengine ila ukiwa unalifahamu hili neno hutayumba kamwe
Jr[emoji769]