Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Mwaka 2005 wakati anafungua kampeni za kugombea ubunge kule Nyamagana nilikuwepo.

Alipopewa kipaza sauti kwa ajili ya kuongea na kujitambulisha baada ya kupambwa na watangulizi wake, aliposimama akataja jina na baadae akasema ......."Mimi ndiye mgombea ubunge jimbo la ....." akalisahau jimbo akainama meza kuu pale kuuliza. Akaambiwa Nyamagana kwa sauti hadi sisi wasikilizaji tukasikia kupitia kipaza sauti na ndipo akaweza kututajia jina la jimbo.

Akapata ubunge, akapewa na uwaziri wa wizara muhimu sana nchini.
 
Yeah

Jr[emoji769]
Ila jamaa watu wanamchukulia mjivuni lkn ukiwa karibu naye mbn yuko poa tu!
Kuna jamaa fulani mmja wao Jina lake Linanzia na A alimfata Marsha akampa mchakato fulani wa biashara,Marsha alimpatia mtaji jamaa akawa anaenda USA kufata laptops used na kuzieleta bongo
Nawajuaa Vijana kama 3 wengine pia Marsha aliwapa fursa....ya mitaji

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2005 wakati anafungua kampeni za kugombea ubunge kule Nyamagana nilikuwepo. Alipopewa kipaza sauti kwa ajili ya kuongea na kujitambulisha baada ya kupambwa na watangulizi wake, aliposimama akataja jina na baadae akasema ......."Mimi ndiye mgombea ubunge jimbo la ....." akalisahau jimbo akainama meza kuu pale kuuliza. Akaambiwa Nyamagana kwa sauti hadi sisi wasikilizaji tukasikia kupitia kipaza sauti na ndipo akaweza kututajia jina la jimbo.
Akapata ubunge, akapewa na uwaziri wa wizara muhimu sana nchini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Huyu alipewa uwaziri kama shukrani kwa mzee familia kushiriki kikamilifu kwenye harakati za JK kuingia mjengoni kipindi kile. Baba yake ana ukwasi, na alitoa hisani kikamilifu kwa JK. Ila jamaa alikua na dharau sana enzi zake.
Kabila linachangia[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom