Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Umeandika vyema.

Kwa tunaomjua Masha taaaangu enzI TULIJUA siasa itamponza. Alipoanza kuhama hama kama ndege aliyekosa kiota vile tu jina lake lilikatwa katika tiketi ya kuwania urais.

Masha ni opportunist if not Selfish

Yametimia
 
Umeandika vyema
Kwa tunaomjua Masha taaaangu enzI TULIJUA siasa itamponza. Alipoanza kuhama hama kama ndege aliyekosa kiota vile tu jina lake lilikatwa katika tiketi ya kuwania urais.
Masha ni opportunist if not Selfish
Yametimia
[emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
ni uongo, uzushi, na ndimi nyingi hakika kuna ukweli ndani yake mfano tosha ni hoja ya asilimia 25, big up on it nakupa good critical na like za kutosha.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Jr[emoji769]
 
Sidhani kama watu watakuelewa zaidi ya wachache wazee wa samora na watoto wa mjini wapiganaji..

JENISTER MHAGAMA MUST GO.
 
Kipindi cha Mkwere yeye na wenzake walipata tenda ya kuingiza maji Bandarini kusambaza kwenye meli zilizokuwa zikija kutia nanga hapo Dar es Salaam.

Hebu chukua muda kidogo utafakari juu ya hili, Bandari kushindwa kulipa bill ya maji kwa Mamlaka husika hata kusambaziwa maji na Mabozer. Watu walipiga pesa in Usd. Alipoingia huyu Mwanaume, ule mkataba ukafutiliwa mbali
 
Huyu dogo alikuwa mpuuzi sana enzi za Kikwete, yaani kipindi alipokuwa waziri. Alitembea sana na wake za watu tena kwa nguvu kutumia madaraka yake. Akafungwe tu, nina ndugu zangu jela wanamsubiri kumvua chupi kwani nilishawapa habari zake. Wapuuzi kama hawa ndiyo wanaopiga kelele kuwa nchi imeharibika wakati wao ndiyo walikuwa wanatuibia na kutufanyia maovu.

Unaweza ukathibitisha kauli yako hapa na kwa kila tuhuma ???
 
Back
Top Bottom