Robert greene
Member
- Nov 11, 2018
- 39
- 26
Umemuelezea kuliko anavyoweza kujielezea yeye mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa sijakuelewa kabila limechangia vipi?Kabila linachangia[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Jr[emoji769]
Na hii ndiyo timu iliyomfuata lowasa chadema, tungekwisha! Mungu katuepushia mengi.Kipindi cha Mkwere yeye na wenzake walipata tenda ya kuingiza maji Bandarini kusambaza kwenye meli zilizokuwa zikija kutia nanga hapo Dar es Salaam. Hebu chukua muda kidogo utafakari juu ya hili, Bandari kushindwa kulipa bill ya maji kwa Mamlaka husika hata kusambaziwa maji na Mabozer. Watu walipiga pesa in Usd. Alipoingia huyu Mwanaume, ule mkataba ukafutiliwa mbali
[emoji23][emoji23][emoji23]kwenye msitu kuna majani na miti midogo pia, kuna vichaka pia na mimea mingine... Katika ujumla wake tunapata msitu /misituHahaha nimeona paragraph ya mwisho umesema ameacha LEGACY, naomba kuelewa ni LEGACY gani kaacha?! Au mimi ndio sielewi LEGACY ni nini mkuu. Naomba kueleweshwa kwenye hili.
Huyu dogo alikuwa mpuuzi sana enzi za Kikwete, yaani kipindi alipokuwa waziri. Alitembea sana na wake za watu tena kwa nguvu kutumia madaraka yake. Akafungwe tu, nina ndugu zangu jela wanamsubiri kumvua chupi kwani nilishawapa habari zake. Wapuuzi kama hawa ndiyo wanaopiga kelele kuwa nchi imeharibika wakati wao ndiyo walikuwa wanatuibia na kutufanyia maovu.
Waliridhia vipi wakati ndege yao ipo rehani !Kuna mamlaka ndani ya chama na serikali waliridhia
Jr[emoji769]
Hujui kuwa huyu jamaa ni 'mganga na mulozi'[emoji16][emoji23][emoji3][emoji38]
"Ngekewa "
Akina Fatuma Karume, sasa hivi ana mdomo balaa ! Hasira za 'line kukatwa'IMMA ADVOCATES .........Hiii kampuni iliwahi kuhusishwa na ufisadi.Enzi zile Mwanahalisi ni gazeti kwelikweli waliandika vizuri,sema tu sikumbuki vizuri.Mwenye data amwage hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
waliokuwa wanamlinda akipiga maji Rose Garden leo wanamtia kwenye karandinga , Haya maisha haya jamani !
Simba Cement.Huyu jamaa alivyo anza kulalamika kwenye ile ishu ya kiwanda sijui cha twiga cement kuporomoka mauzo halafu anahisa huko baada ya kama miezi kadhaa akahamia ccm, nilihisi kuna kitu jamaa amesha shtuka ila too late..
Tatizo raia hawataki kubadilika kulingana na mda..
Fursa zimegoma ktk maisha kuna kupanda na kushuka