Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Ila jamaa watu wanamchukulia mjivuni lkn ukiwa karibu naye mbn yuko poa tu!
Kuna jamaa fulani mmja wao Jina lake Linanzia na A alimfata Marsha akampa mchakato fulani wa biashara,Marsha alimpatia mtaji jamaa akawa anaenda USA kufata laptops used na kuzieleta bongo
Nawajuaa Vijana kama 3 wengine pia Marsha aliwapa fursa....ya mitaji

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu huwawezi kaka, pengine hata wewe unang'ong'wa.... Kuna baadhi hapa wanamkandia but they are so broke

Jr[emoji769]
 
Bado yule mzee wa fursa mwenzie anjiita albert msando aka don..siku akisikia ile bar itapita barabara lazima adate maana mda mwengine anaponda harakati za jiwe kama anajisahau naye wa ndani...na vijana ccm wasivyompenda

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Bado yule mzee wa fursa mwenzie anjiita albert msando aka don..siku akisikia ile bar itapita barabara lazima adate maana mda mwengine anaponda harakati za jiwe kama anajisahau naye wa ndani...na vijana ccm wasivyompenda

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona Gambo anakuwaga hapo the don na yeye.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ila jamaa watu wanamchukulia mjivuni lkn ukiwa karibu naye mbn yuko poa tu!
Kuna jamaa fulani mmja wao Jina lake Linanzia na A alimfata Marsha akampa mchakato fulani wa biashara,Marsha alimpatia mtaji jamaa akawa anaenda USA kufata laptops used na kuzieleta bongo
Nawajuaa Vijana kama 3 wengine pia Marsha aliwapa fursa....ya mitaji

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kati ya hao watatu kuna mmoja hata mmi namjua ana office moja k/koo ingine posta .
Ni mwenyeji wa mbeya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom