Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Kipindi cha Mkwere yeye na wenzake walipata tenda ya kuingiza maji Bandarini kusambaza kwenye meli zilizokuwa zikija kutia nanga hapo Dar es Salaam. Hebu chukua muda kidogo utafakari juu ya hili, Bandari kushindwa kulipa bill ya maji kwa Mamlaka husika hata kusambaziwa maji na Mabozer. Watu walipiga pesa in Usd. Alipoingia huyu Mwanaume, ule mkataba ukafutiliwa mbali
Na hii ndiyo timu iliyomfuata lowasa chadema, tungekwisha! Mungu katuepushia mengi.
 
Ulipoweka hii thread hukutegemea Hilo? Kwasababu hata thread yako ilivyokaa imemlenga Masha personally ndio maana watu wanamuongelea kwa hisia zao.
Ukisoma kwa makini ni 50/50 +/-

Jr[emoji769]
 
Hahaha nimeona paragraph ya mwisho umesema ameacha LEGACY, naomba kuelewa ni LEGACY gani kaacha?! Au mimi ndio sielewi LEGACY ni nini mkuu. Naomba kueleweshwa kwenye hili.
[emoji23][emoji23][emoji23]kwenye msitu kuna majani na miti midogo pia, kuna vichaka pia na mimea mingine... Katika ujumla wake tunapata msitu /misitu

Jr[emoji769]
 
Sidhani kama watu watakuelewa zaidi ya wachache wazee wa samora na watoto wa mjini wapiganaji..

JENISTER MHAGAMA MUST GO.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Huyu dogo alikuwa mpuuzi sana enzi za Kikwete, yaani kipindi alipokuwa waziri. Alitembea sana na wake za watu tena kwa nguvu kutumia madaraka yake. Akafungwe tu, nina ndugu zangu jela wanamsubiri kumvua chupi kwani nilishawapa habari zake. Wapuuzi kama hawa ndiyo wanaopiga kelele kuwa nchi imeharibika wakati wao ndiyo walikuwa wanatuibia na kutufanyia maovu.

Kuna Mwanamke mmoja wa Kichagga alikuwa anaishi Kawe na sasa anaishi Mbezi Afrikana (Jina lake nalihifadhi) aliwahi kuniambia alichomfanyia huyu Jamaa baada ya Jamaa Kumtongoza, Kumsumbua na Kutishia Kumfukuzisha Kazi katika hiyo Hotel maeneo ya Baharini ambapo Dada huyu alikuwa ni Receptionist hapo hatokuja Kukisahau na ilibaki kidogo tu angemchafua katika Media ila aliamua tu Kumtunzia Heshima yake. H
ilo la Wake za Watu nakuunga mkono kwa 100% zote Mkuu.

Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Back
Top Bottom