Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Jr[emoji769]
Kwani hujui, fuatilia utapata jibu, bongo noumaMmh hili jipya kwangu vodacome ya ccm!?
Jr[emoji769]
Ila jamaa watu wanamchukulia mjivuni lkn ukiwa karibu naye mbn yuko poa tu!Yeah
Jr[emoji769]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwaka 2005 wakati anafungua kampeni za kugombea ubunge kule Nyamagana nilikuwepo. Alipopewa kipaza sauti kwa ajili ya kuongea na kujitambulisha baada ya kupambwa na watangulizi wake, aliposimama akataja jina na baadae akasema ......."Mimi ndiye mgombea ubunge jimbo la ....." akalisahau jimbo akainama meza kuu pale kuuliza. Akaambiwa Nyamagana kwa sauti hadi sisi wasikilizaji tukasikia kupitia kipaza sauti na ndipo akaweza kututajia jina la jimbo.
Akapata ubunge, akapewa na uwaziri wa wizara muhimu sana nchini.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ngj wknd 1 nikimgumia 777 pale
Nitabonga naye hku nampiga na shots za tikila [emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabila linachangia[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Huyu alipewa uwaziri kama shukrani kwa mzee familia kushiriki kikamilifu kwenye harakati za JK kuingia mjengoni kipindi kile. Baba yake ana ukwasi, na alitoa hisani kikamilifu kwa JK. Ila jamaa alikua na dharau sana enzi zake.