Hakuna wakati tutakaofurahi under the present administration. Ameapa tuishi kama mashetani na wakulima walimie menoIngawa Stone anatubana Kende, anazibana kwa manufaa ya baadae ingawa inatutesa. Ila huyu jomba angeushika usukani tungekula Raha to the fullest tukiwa hatujijui ka ni Sold Out
Huyu anang'ata na kupuliza kama kawaida yetu sisi wapare!!
Angalia usifanane nao kwa mwingineHao wanawake ni wajinga na wapuuzi, wao ndiyo walipenda na kumpenda
Yeah mzinza. Ni kama Kagera wanyambo wanavyomezwa na wahaya. Binafsi, huwa nawajumuisha wazinza na usukuma, japo ni kweli ni kabila tofauti.Masha siyo msukuma, ni Mzinza. Japo wazinza wengi wanaelewa kisukuma sababu ya mwingiliano wa kabila lao na wasukuma huko Sengerema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna Mwanamke mmoja wa Kichagga alikuwa anaishi Kawe na sasa anaishi Mbezi Afrikana ( Jina lake nalihifadhi ) aliwahi kuniambia alichomfanyia huyu Jamaa baada ya Jamaa Kumtongoza, Kumsumbua na Kutishia Kumfukuzisha Kazi katika hiyo Hotel maeneo ya Baharini ambapo Dada huyu alikuwa ni Receptionist hapo hatokuja Kukisahau na ilibaki kidogo tu angemchafua katika Media ila aliamua tu Kumtunzia Heshima yake. Hilo la Wake za Watu nakuunga mkono kwa 100% zote Mkuu. Naomba niishie hapa tafadhali.
Hapana, siasa na biashara ndio ulikuwa utamaduni tuliouzoea. Sumaye aliwahi kutushawishi kutundika bendera za ccm kuepuka bughudha za TRA.Alidhani kuhamia CCM kungembeba. Siasa na biashara ni vitu viwili tofauti.
Hahaha kweli ccm kichaka cha majambazi.Hapana, siasa na biashara ndio ulikuwa utamaduni tuliouzoea. Sumaye aliwahi kutushawishi kutundika bendera za ccm kuepuka bughudha za TRA.
Ingawa Stone anatubana Kende, anazibana kwa manufaa ya baadae ingawa inatutesa. Ila huyu jomba angeushika usukani tungekula Raha to the fullest tukiwa hatujijui ka ni Sold Out
Sahihi kabisa sometimes MAGAZIJUTO zinagomaNi maisha tu na ni hesabu tu za Maisha kaka! Wengi waliamini 2015 Edo angeingia magogonj, hivyo bwana Masha alipiga hesabu hiyo.....bahati mbaya imegoma.. hesabu huwa zinagoma..... zikigoma unahitaji muda, uchill kwanza uitazame safari uliyotoka, wapi umechemka na ipi way forward.... Ni msomi, mpambanaji atasimama tena. Hakuna mwenye hakika ya kesho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amen na hakika atasimamaNi maisha tu na ni hesabu tu za Maisha kaka! Wengi waliamini 2015 Edo angeingia magogonj, hivyo bwana Masha alipiga hesabu hiyo.....bahati mbaya imegoma.. hesabu huwa zinagoma..... zikigoma unahitaji muda, uchill kwanza uitazame safari uliyotoka, wapi umechemka na ipi way forward.... Ni msomi, mpambanaji atasimama tena. Hakuna mwenye hakika ya kesho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Akisimama yeye wanaanguka wengi. Mwenyezi Mungu amvunje miguu kabisa.
Kukosa kwako hakusababishwi nae. Kumuombea mwingine aanguke hakutaongeza hata 100 kwako.Akisimama yeye wanaanguka wengi. Mwenyezi Mungu amvunje miguu kabisa.
Wise words.Ni maisha tu na ni hesabu tu za Maisha kaka! Wengi waliamini 2015 Edo angeingia magogonj, hivyo bwana Masha alipiga hesabu hiyo.....bahati mbaya imegoma.. hesabu huwa zinagoma..... zikigoma unahitaji muda, uchill kwanza uitazame safari uliyotoka, wapi umechemka na ipi way forward.... Ni msomi, mpambanaji atasimama tena. Hakuna mwenye hakika ya kesho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Inshallah Mwenyezi Mungu amvunje miguu kabisa.Kukosa kwako hakusababishwi nae. Kumuombea mwingine aanguke hakutaongeza hata 100 kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app