Lawrence Masha! Mpambanaji anayekaribia kupoteza pambano

Manufaa ya badae yapi? hii yakutia hasara Nch? 1,5t unajua hii Hela ilipo? wadanganyika ni rahisi sana kuwaburuza

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo wewe ulichokikariri ni 1.5 tri tu? Hiyo Reli, stigler's hutavitumia au havitakunufaisha? Acha kuwa na akili iliyodumaa. Kimsingi kuna vitu ana vifanya sahihi na kuna vitu anazingua vile vile. Sometimes learn Appreciating stuffs no matter wat
 
Kama kweli alikua anatafuna wake za watu! Na kutafuniwa mke kunavyouma! Wacha nae wakamtafune kisawa sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo wewe kupotea kwa 1,5tr sio issue muhimu inajengwa Sgr unajua Hela anakotoa! msije kutoa povu badae! maana wadanganyika hamuelewagi mambo mabaya mpaka yawatokee
Kwa hiyo wewe ulichokikariri ni 1.5 tri tu? Hiyo Reli, stigler's hutavitumia au havitakunufaisha? Acha kuwa na akili iliyodumaa. Kimsingi kuna vitu ana vifanya sahihi na kuna vitu anazingua vile vile. Sometimes learn Appreciating stuffs no matter wat

Sent using Jamii Forums mobile app
 
karma is bitch
Duh!.
P
 
Hahaha mkuu. Ila kiukweli watu wa kanda ya ziwa from Mara. Kagera na Mwanza na hata Kigoma wana dharau sana.
Wana dharau dhidi ya nani? Kwa lipi? Achana nao endelea na 50 zako.
 
Mkuu kama bado una nguvu za kutosha na hakuna kinachokutia uwoga na kwa kufuata utaratibu HAWA VIUMBE ACHA TU WATUMIWE. Huyo mdada wa kichaga na walivyo ma opportunist ni kweli alikuwa hataki au alitarajia afanyiwe makubwa na alipoona hayajatekelezwa ndo kaanza kujishebedua ati kalazimishwa? Labda ni kweli.
 
IMMA ADVOCATES .........Hiii kampuni iliwahi kuhusishwa na ufisadi.Enzi zile Mwanahalisi ni gazeti kwelikweli waliandika vizuri,sema tu sikumbuki vizuri.Mwenye data amwage hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mikataba yote ya kifisadi iliyolitia hasara taifa hili kipindi cha awamu ya nne ilisainiwa kupitia IMMA ADVOCATES!

Wao ndio walikuwa wanasheria wa mikataba ya makampuni karibu yote yaliokuwa yakikwapua mshiko nchii hii enzi hizo.

Hadi JK aliwahi kuvunja sheria kwa kumchagua jaji au mwanasheria wa serikali(sikumbuki vizuri).kutoka kampuni hii jambo ambalo lilipigiwa kelele sana.

Hata huyu Fyatu karume alikuwa humo humo!.

Hata Riz one naye alikuwa humo.

Historia huwa ni mwalimu mzuri sana.
Nilimuona juzi kati hapa huyu masha,kuna kipindi kilizimwa ghafla cha tv na kuunganishwa matangazo ghafla jamaa alikuwa kweli anatia huruma sana na alipoanza kufunguka zaidi ikabidi kipindi kikatizwe ghafla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
Nlibahatika kukutana naye kwa wavimba mcho
Ilikuwa club alikuwa na ttz alafu zimemganda
Ila naskia enz zake yuko njema ukimtokea akikuelewa ukimpa plan anakuwezesha
Kuna Figo mmja anaitwa Abba mm namjua alimtokeaga akampa plan yke ya kununua laptop used kutoka USA na kuzileta bngo
Frm wazir alimuwezesha mpunga mtaji dogo akapiga Kazi sana
Ila jamaa Frm wazir ni mjivuni(nature)

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walimpeleka.MAHAKAMAN wakakazia hukumu ndege moja IKO pale chini AIRPORT

NAHISI sikuwanapewaa PESA yakulipia sikuzilizokaa atapata kichaa...jamaa wahunisana walishajipanga ndegezote zimechomoka hio ikapangwa inaendanairobi matengenezooo HAHAAA wajanja wakaiwahii
Sijui kwakweli

Jr[emoji769]
 

Inaelekea wapi mbio hivyo eti?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…