Miaka itabaki kuwa miaka na hakuna kitakachobadilika, pigeni kelele mkimaliza maisha yaendelee..!Nikweli mkuu, ndio maana wameanza matamko kutisha watu, lkn watambue hii miaka mitano inayokuja nimiaka tofauti kabisa na mitano iliyopita.
Hii nchi siyo mali yake wananchi wana haki ya kuandamana kwa mujibu wa katiba ya tanzania na wanahaki ya kukataa matokeo maana kama sheria inakataza kwenda mahakamani basi wananchi ndiyo wenye mamlaka ya kukataa matokeo na yeye kazi yake ni kuwalinda hao wananchi kukataa ni halali yao kama ilivyo kwa wanaunga mkono huo uchafuzi
Kwenye huu utawala hadi wanawake wamebebeshwa kura za wizi
View attachment 1616087
Huo wizi hauwezi kuachwa hivihivi hakuna atakayekubali wizi wa mchana na ushahidi upo hakuna kulala yeye atoe matamko tu lakini sisi wananchi ndiyo wenye mamlaka hatujatoa mamlaka kwa wizi wa hivo tangu tanzania izaliwe haijawahi kushuhudia wizi wa hivo ni aibu lazima tukatae wizi na hao wote walioshitiki kwenye wizi tutahakikisha wanatajana hadi aliyewatuma Nyerere alishasema tukiogopa tutatawaliwa na madikiteta basi tuone mwisho wake kama hizo silaha zitashinda nguvu ya umma. Kama wanafikiri wamekata internet VPN iko kila mahali
Mkiua wananchi nchi nzima mtamuongoza nani? Msilazimishe hisia za watu.Tunafuatilia Mienendo yenu. Madhara ya kuandamana yatakuwa makubwa kuliko madhara ya kutulia nyumbani.
Uchaguzi umeisha, Rais JPM aungwe mkono , siasa zimeshaisha. Mtatolewa kafara na hakuna Human Rights yoyote itakayoingilia mzozo, acheni hayo mambo.
Miongoni mwa hao mnaopanga nao kuandamana wapo watu wetu hivyo itakuwa ni rahisi sana kuwatia nguvuni kama wale vijana wa IT waliokuwa wanajaribu kuvuruga mifumo ya matokeo mwaka 2015 some of them were our members. So watch out !
Only to advise!
Na wewe ungekua na akili walau hata ile ya kuku tu, ungeishabikia CCM?Chadema akili hawana kabisa
"Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote anayelianzisha asijutie yale atakayokuatana nayo, Dar es Salaam siyo shamba la bibi, hatutowaacha waende zaidi ya mita kumi" Lazaro Mambosasa - Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Tanzania.
Hizi kura za Rais zilizo pigwa kabla ya 28 jimbo la kawe.Huyu ni mpuuzi, maoni ya wananchi yamebakwa na kulawitiwa mchana kweupe hilo haoni.
Walisema Haijai!!Mkiua wananchi nchi nzima mtamuongoza nani? Msilazimishe hisia za watu.
Walipo tupo.Viongozi wa CHADEMA na ACT kamwe wasilegeze kamba. Kukabiliana na mhuni na wewe nenda kihuni
Tundu alisema yeye kazi yake kashamaliza kazi yake sasa ni zamu ya wananchi kuandamana. Akaongeza pia ameshawasliana na bobu ili awasilishe malalamiko yenye ushahidi ICC
Haya maneno ya Tundu yanafikirisha sana.
Kwanini Tundu hakusema sisi wananchi wa Tanzania tunaandama?
Kama kiongozi hakuweka mipango kuhusu hayo maandamano kwamba yanafanyikaje?
Nani anatakiwa kuorganise hayo maandamano?
Yanaanza lini? wapi? na yatafanyika kwa muda gani?
Tundu ameanza kuwajua watanzania kidogo, ila bado anataka kuwatumia kwa maslahi yake binafsi ili aendelee kuichafua nchi.
Wananchi hawawezi kuandamana kwa kushurtishwa, wala kwa kumsaidia Tundu kutimiza malengo yake binafsi.
Wananchi huandamana pale wanapokua wameonewa na Hilo huwa hawaambiwi, hawakatiziki wala hawazuililiki
Watanzania tumeamua kwenda na John Pombe Magufuli Tundu, Maalim na magenge yao waheshimu maamuzi yetu
Kama uzalendo kwa nchi na heshima kwa wakuu wa nchi,hawa jamaa nimewavulia kofia maana niliamini kwa jinsi wanavyosuswa na hao wakubwa wanaowasaidia kuwaweka madarakani na jinsi walivyo na maisha duni wasingelijitoa kuwapigania kipindi ichi cha uchaguzi ila jambo la kushangaza polisi wamejitoa sana kuhakikisha 'sisiemu' inashika nchi.Hasa polisi wa JMT
Dada haya maji marefu si saizi yako kabisa.
Wewe endelea kuburudika na VPN ya beberu tu.
Huyu mwizi tutapambana naye sisi. Tukimaliza hutahitaji VPN tena.
Mjomba alipoona maji yanazidi unga polisi na wanajeshi waliongezewa mishahara ili wamlinde.Kama uzalendo kwa nchi na heshima kwa wakuu wa nchi,hawa jamaa nimewavulia kofia maana niliamini kwa jinsi wanavyosuswa na hao wakubwa wanaowasaidia kuwaweka madarakani na jinsi walivyo na maisha duni wasingelijitoa kuwapigania kipindi ichi cha uchaguzi ila jambo la kushangaza polisi wamejitoa sana kuhakikisha 'sisiemu' inashika nchi.
Polisi mnafeli wapi hao sisiemu wanawatumia kipindi kama ichi mwisho wa siku wakipata wanawaacha kwenye mataa,mnataabika mnaishi maisha magumu na kuaibika mtaani.
#PolisikaziYaAjabu!
Mkiua wananchi nchi nzima mtamuongoza nani? Msilazimishe hisia za watu.