Mk54
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,996
- 3,950
YANA MWISHO HAYA.
Mzee wa malofa yupo wapi?
Hata wewe pia yatakukuta.ni suala la muda tu. No one is safer as long as una Uhai, my friend you are heading to it . TAFAKARI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YANA MWISHO HAYA.
Mzee wa malofa yupo wapi?
Hata wewe pia yatakukuta.ni suala la muda tu. No one is safer as long as una Uhai, my friend you are heading to it . TAFAKARI.
Ww si mtu wa mamlaka, probably hujamaliza shule au umemaliza juzi juzi, au ni polisi/mgambo/kuruta.Maelekezo yapo straight kabisa. Uchaguzi umeshaisha. Tumetoa maoni yetu kipindi cha kampani ili kufanya maboresho. Kampeni zimeisha. Uchaguzi umeisha. Wananchi wamemchagua JPM , ni jukumu la kila raia kutoa ushirikiano kwa JPM kama Rais wetu.
Kwa yeyote Mtanzania anaejaribu maandamano kwa mitandao au kwa vikundi anakwenda kinyume na sheria za nchi, Jamhuri haitosita kutumia nguvu kwa maslaha mapana ya Taifa.
Vijana msirubunike, don’t trust anyone, hao mnaopanga nao wapo watu wetu, utashangaa familia yako haikuoni tena, acheni hayo mambo. Fanya kazi kwa bidii, soma kwa bidii, wapende wazazi wako , itoshe kusema hivo
Kama mnataka maandamano, hakikisha Mbowe, Lema, Tundu, yule Muha Wote wanakaa Front page nyie mkiwa nyuma ili Jamhuri ianze na hao walio mbele.
Tarehe 5 au Jumatatu tuta muapisha Rais. Tunaomba maisha yaendelee na amani itawale. Tumesikia shida zenu na tutatatua baadhi ya changamoto at the earliest.
Ww si mtu wa mamlaka, probably hujamaliza shule au umemaliza juzi juzi, au ni polisi/mgambo/kuruta.
Hatahivyo upo sahihi, watu watulie tuendelee kufurahia maisha pamoja na changamoto zilizopo.
Kwa wale wenye hasira sana wawaambie wake/rafiki zao wasonge ugali mkubwaa wale na mboga za majani na maji mengi, inasaidia sana.
Bora ufe ukiwa raia .
Kuliko kufa ukiwa na damu za watu mikononi mwako..
Ubabe una mwisho .Hitler yupo wapi?
Ishu na watu vizuri uje ukumbukwe baadae.
Mzee wa malofa nani anayemkumbuka?
Huyu ni kati ya watu wa hovyo kuwahi kutokea katika jeshi la polisi, hana weledi kabisa, mdomo wake huwa unahara"Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote anayelianzisha asijutie yale atakayokuatana nayo, Dar es Salaam siyo shamba la bibi, hatutowaacha waende zaidi ya mita kumi" Lazaro Mambosasa - Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Tanzania.
Ni jino kwa jino, bila hivyo ccm watazoea vibayaViongozi wa CHADEMA na ACT kamwe wasilegeze kamba. Kukabiliana na mhuni na wewe nenda kihuni
Hakuna lolote lililoanza Liwale shwari kabisa. Acha uongo. Atakayejaribu atakiona cha motoMambo yanaanza kuwa mambo
Anashindwa kujua hata kwenye kupigania uhuru, wazee wetu walisacrifice maisha yao mbele ya mkoloni ndio maana tukapata uhuru, the same has to be done ili kuondokana na utawala huu wa kijinga kuwahi kutokeaMtaonyesha wangapi cha moto!
Mbona wako too defensive, kuna kitu wanaogopa.Anashindwa kujua hata kwenye kupigania uhuru, wazee wetu walisacrifice maisha yao mbele ya mkoloni ndio maana tukapata uhuru, the same has to be done ili kuondokana na utawala huu wa kijinga kuwahi kutokea
Mtu mwenye akili timamu lazima aogope, watanzania wote hawajaridhika na matokeo, huzuni, hasira na chuki vimetawala na hii itasababisha bomu kubwa ndio maana unaona thread za kumwambai Lissu akubali matokeo zimezidi humuMbona wako too defensive, kuna kitu wanaogopa.
Vipi jombi? Wewe ndiyo mamboleo kwenye ubora wako wa kukusanya taarifa za kintelijensia? Unataka tarehe?Kwani mtaandamana lini? Mkuu
Mambo sasa angetulia kwanza.Tatizo kubwa la polis wetu kukurupuka..
Hakuna mamia wa kuandamana, mkiandamana mnatandikwa virungu tu kesho yake hakuna ujinga utakao endelea. Mkimaliza msisahau kuwatumia picha USA mabwana zenu.Tusitishane hakuna dola itakayoua mamia ya wanachi wake.
Mwambie Mbowe na Lissu wakae mbele, utaona picha zao, ma bwana wenu USA pia watapiga kelele na hakuna atakaye andamana tena baada ya hapo.Mtaonyesha wangapi cha moto!
Eti nini 'Watanzania wote'? You must be kidding!!! Karibu90% ya watanzania tumeonesha maamuzi yetu kupitia kura zetu kwa JPM. Tafadhali usitumie hilo neno. Heshimu maamuzi yetuMtu mwenye akili timamu lazima aogope, watanzania wote hawajaridhika na matokeo, huzuni, hasira na chuki vimetawala na hii itasababisha bomu kubwa ndio maana unaona thread za kumwambai Lissu akubali matokeo zimezidi humu
Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni."Tumepata taarifa kwamba kuna vikundi vya watu wachache, wameamua kuanza na vikao vya siri wakihamasishana kwamba wasikubaliane na matokeo ambayo kimsingi ni maamuzi ya Wananchi wenyewe, yoyote anayelianzisha asijutie yale atakayokuatana nayo, Dar es Salaam siyo shamba la bibi, hatutowaacha waende zaidi ya mita kumi" Lazaro Mambosasa - Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Tanzania.