Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

John Pombe Magufuli - Kura 12,516,252

Tundu Antipas Lissu - Kura 1,933,271

John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

ITV

Imeisha hiyo!!!!
 
Ubovu wa katiba nao umechangia kutufikishs hapa! Hicho ndio kitu pekee nitamlaumu Mwl
 
John Pombe Magufuli - Kura 12,516,252

Tundu Antipas Lissu - Kura 1,933,271

John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

ITV

Imeisha hiyo!!!!

Ahsante. Tunaapisha J3.
 
Anashindwa kujua hata kwenye kupigania uhuru, wazee wetu walisacrifice maisha yao mbele ya mkoloni ndio maana tukapata uhuru, the same has to be done ili kuondokana na utawala huu wa kijinga kuwahi kutokea
Ukiona kijana wa kiume anaogopa kupambania haki kuliko mwanamke kwa mazingira ya Africa jua kuna shida mahal a-hongera sana best-you are too inspiring
 
Miaka 40 ijayo watoto wetu na wajukuu zetu watatushangaa kwa kuruhusu huu upuuzi kama sisi tunavyo washangaa ma babu zetu walivyo kubali kuteswa na wakolono
 
Nimemuona Mambosasa akizungumza, amezungumza kiushabiki, anasema Dar es Salaam sio shamba la bibi kuna watu wameshindwa uchaguzi Hai, Kilimanjaro, Arusha wamekuja Dar wanataka kufanya vurugu. Wameshajua kuna jambo zito ndio sababu wamejitokeza. Pia rpc wa Mwanza na yeye kazungumza Leo.
 
Maelekezo yapo straight kabisa. Uchaguzi umeshaisha. Tumetoa maoni yetu kipindi cha kampani ili kufanya maboresho. Kampeni zimeisha. Uchaguzi umeisha. Wananchi wamemchagua JPM , ni jukumu la kila raia kutoa ushirikiano kwa JPM kama Rais wetu.

Kwa yeyote Mtanzania anaejaribu maandamano kwa mitandao au kwa vikundi anakwenda kinyume na sheria za nchi, Jamhuri haitosita kutumia nguvu kwa maslaha mapana ya Taifa.

Vijana msirubunike, don’t trust anyone, hao mnaopanga nao wapo watu wetu, utashangaa familia yako haikuoni tena, acheni hayo mambo. Fanya kazi kwa bidii, soma kwa bidii, wapende wazazi wako , itoshe kusema hivo

Kama mnataka maandamano, hakikisha Mbowe, Lema, Tundu, yule Muha Wote wanakaa Front page nyie mkiwa nyuma ili Jamhuri ianze na hao walio mbele.

Tarehe 5 au Jumatatu tuta muapisha Rais. Tunaomba maisha yaendelee na amani itawale. Tumesikia shida zenu na tutatatua baadhi ya changamoto at the earliest.
Ule mda wakujisetisha ushafik looh!...
Njoo na [emoji723] kbs kusema watu wetu cjui wko cjui nn nn haitoshi.. In fact sio maadil ya hyo kazi..
By the way km unawish au umepachikw sehm jipime kimaadil hautoooooshi!...
 
Tunafuatilia Mienendo yenu. Madhara ya kuandamana yatakuwa makubwa kuliko madhara ya kutulia nyumbani.

Uchaguzi umeisha, Rais JPM aungwe mkono , siasa zimeshaisha. Mtatolewa kafara na hakuna Human Rights yoyote itakayoingilia mzozo, acheni hayo mambo.

Miongoni mwa hao mnaopanga nao kuandamana wapo watu wetu hivyo itakuwa ni rahisi sana kuwatia nguvuni kama wale vijana wa IT waliokuwa wanajaribu kuvuruga mifumo ya matokeo mwaka 2015 some of them were our members. So watch out !

Only to advise!
Makaburu walitisha Sana wananchi lkn mwishowe UHURU ulipatikana.
Wakati ni ukuta..
 
Ule mda wakujisetisha ushafik looh!...
Njoo na [emoji723] kbs kusema watu wetu cjui wko cjui nn nn haitoshi.. In fact sio maadil ya hyo kazi..
By the way km unawish au umepachikw sehm jipime kimaadil hautoooooshi!...

Maadili ya kazi gani.?

Nenda kaandamane
 
Ww si mtu wa mamlaka, probably hujamaliza shule au umemaliza juzi juzi, au ni polisi/mgambo/kuruta.

Hatahivyo upo sahihi, watu watulie tuendelee kufurahia maisha pamoja na changamoto zilizopo.

Kwa wale wenye hasira sana wawaambie wake/rafiki zao wasonge ugali mkubwaa wale na mboga za majani na maji mengi, inasaidia sana.
Well said!
Inashangaz huend ht hajafikia huo ukuruta wenyw pngne anasotekea kwny uzalendo anakuja kutema cheche ziczo na mantiki jukwaani.
Hakuna anayetamani vurugu wala kuona jamaa ndugu na marafik wakisota in the name of politics lkn sababu ya kutisha nakujichetua watu wetu wamo cjaiona ni ushamba ulopindukia ht km ni police hajaiva arejee kwny msoto ajifunze maadil.
 
Back
Top Bottom