Uchaguzi 2020 Lazaro Mambosasa ametoa tamko kwa wanaopanga kupinga matokeo ya Urais

Viongozi wa juu wa ACT Wazalendo na CHADEMA Kesho, Jumamosi, Oct 31, watazungumza na vyombo vya habari saa nne asubuhi. Watakua Makao Makuu ya CHADEMA Kinondoni.

Waambie wakiamua maandamano na wao na Lissu wao wakae mbele, Lissu atapata na kisingizio cha kurudi Belgium kutibiwa tena baada ya kuulizia.
 
John Pombe Magufuli - Kura 12,516,252

Tundu Antipas Lissu - Kura 1,933,271

John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

ITV

Imeisha hiyo!!!!
 
Ubovu wa katiba nao umechangia kutufikishs hapa! Hicho ndio kitu pekee nitamlaumu Mwl
 
John Pombe Magufuli - Kura 12,516,252

Tundu Antipas Lissu - Kura 1,933,271

John Pombe Joseph Magufuli amechaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania

ITV

Imeisha hiyo!!!!

Ahsante. Tunaapisha J3.
 
Anashindwa kujua hata kwenye kupigania uhuru, wazee wetu walisacrifice maisha yao mbele ya mkoloni ndio maana tukapata uhuru, the same has to be done ili kuondokana na utawala huu wa kijinga kuwahi kutokea
Ukiona kijana wa kiume anaogopa kupambania haki kuliko mwanamke kwa mazingira ya Africa jua kuna shida mahal a-hongera sana best-you are too inspiring
 
Miaka 40 ijayo watoto wetu na wajukuu zetu watatushangaa kwa kuruhusu huu upuuzi kama sisi tunavyo washangaa ma babu zetu walivyo kubali kuteswa na wakolono
 
Nimemuona Mambosasa akizungumza, amezungumza kiushabiki, anasema Dar es Salaam sio shamba la bibi kuna watu wameshindwa uchaguzi Hai, Kilimanjaro, Arusha wamekuja Dar wanataka kufanya vurugu. Wameshajua kuna jambo zito ndio sababu wamejitokeza. Pia rpc wa Mwanza na yeye kazungumza Leo.
 
Ule mda wakujisetisha ushafik looh!...
Njoo na [emoji723] kbs kusema watu wetu cjui wko cjui nn nn haitoshi.. In fact sio maadil ya hyo kazi..
By the way km unawish au umepachikw sehm jipime kimaadil hautoooooshi!...
 
Makaburu walitisha Sana wananchi lkn mwishowe UHURU ulipatikana.
Wakati ni ukuta..
 
Ule mda wakujisetisha ushafik looh!...
Njoo na [emoji723] kbs kusema watu wetu cjui wko cjui nn nn haitoshi.. In fact sio maadil ya hyo kazi..
By the way km unawish au umepachikw sehm jipime kimaadil hautoooooshi!...

Maadili ya kazi gani.?

Nenda kaandamane
 
Well said!
Inashangaz huend ht hajafikia huo ukuruta wenyw pngne anasotekea kwny uzalendo anakuja kutema cheche ziczo na mantiki jukwaani.
Hakuna anayetamani vurugu wala kuona jamaa ndugu na marafik wakisota in the name of politics lkn sababu ya kutisha nakujichetua watu wetu wamo cjaiona ni ushamba ulopindukia ht km ni police hajaiva arejee kwny msoto ajifunze maadil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…