Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Si kweli alishindwa kupiga dili baada ya kudhibitiwa vilivyo. Pia alidiscolify kupata uteuzi kulingana na ufisadi wale wa kipindi cha nyuma. Ikabidi ndio atafute chaka. Na nyie bila hiyana mkapokea mtu kaa yeye..!
Kwahiyo leo hii mnafanya sherehe ya kumpokea mpiga dili?
 
Upo slow sana, kama hadi sasa hujagundua Tanzania hamna uhusiana wowote kati ya vyama vya siasa na sera ingekuwa hivyo EL, Nyalandu na wenzao wasingekaribishwa CDM ama kudhubutu kurudi CCM.
 
kanunuliwa!
 
Vipi huko kwa machadema ameacha nini sasa?

Vipi mtaendelea na zile harakati zenu kwamba ni mwizi?
Nyie CCM si ndiyo mlisema kuwa huyu ni mhujumu uchumi kwa kuuza Twiga wetu? Au hukumbuki Kigwangwala alisema atamshitaki huyo Nyalandu kwa kuuza Twiga wetu? Huyu tunajua alikuja Chadema kuomba hifadhi ya kisiasa akikimbia ukatili wa Magufuli, sasa ameona ni salama kwake kurudi huko kwa vile mtesi wake hayupo tena duniani hatuna neno naye tunamtakia maisha mema.

Swali jee azma yenu ya kumfungulia mashata ya uhujumu uchumi kwa kuuza Twiga wetu bado ipo? Tunawatakia mashataka mema.
 
Nyarandu yule ambao CCM chini ya Kigwangalla walisema ni MWIZI na MUHUJUMU UCHUMI! Kwamba atafunguliwa mashitaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…