Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Cheka tu mkuu lkn ujue ndiyo dizasta ya tembo imekaribiaHahahha. Hii comment inachekesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheka tu mkuu lkn ujue ndiyo dizasta ya tembo imekaribiaHahahha. Hii comment inachekesha
CHADEMA TAFADHALI MSIPOROMOSHE MATUSI KWA MAMA ENDELEENI NA UPENDO ULE ULE MLIOMUONYESHA TANGU SIKU YA KWANZA, MSIBADILIKE KWA SABABU YA NYALANDU. MAMA KASEMA NA BADO KUNA MVUA INAKUJA YA UHAMISHO. 19 LOADING..........................Huwa nashangaa unakuta mtu kashupaza shingo hadi matusi eti ili kumtetea mwanasiasa.
Ndio maana mie nasema hata kina Halima wakomae tu waendelee kula hela bungeni maana watz hatujitambui hata wakisema wakae njaa ili kutupigania hakuna watakachopata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umeonaeeee?Ni haki yake akae chama gani. Hiyo ndio demokrasia.
Huko CCM anaenda kupewa cheo maCCM yaliyopambana kuiba kura yatabaki yanashangaa tu.
SIASA NI SAYANSI.
WimboNdivyo ninavyosikiliza hapa nikiwa Live kutoka Dodoma.
===
Lazaro Nyalandu amerejea CCM akitokea CHADEMA. Amerejea Aprili 30 katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ulifanyika Dodoma.
Nyalandu aliwahi kuwa mtia wa kugombea urais kupitia Uchaguzi Mkuu 2020 kupitia CHADEMA. Ambapo katika hotuba yake ameshukuru kwa kumpokea.
Amesema katika nchi ya Ugenini wimbo hauimbiki.
View attachment 1768953
Anatafuta uteuzi, never trust a politicianHuyu amerudi nyumbani bwashee!
Wapi nimesema mwendazake alithibiti wizi na ufisadi?Haa ni wewe Mkuu Mmawia.
Mbona mlisema Mwendazake hakufanikiwa kudhibiti wizi na ufisadii..?
Hali teteWavamizi Kaeni mkao wa kuliwa
Nalog off
Kwahiyo mleta uzi kwa mbwembwe kaangukia pua!kigogo alisema
Kwa sasa Sugu ndiye tajiri pekee aliyebakia Chadema!Hapa ndio imani kwa Mbowe inapozidi kuongezeka. Angalia watu wote ambao kwa namna moja au nyingine walitaka kuleta "mabadiliko" CHADEMA wako wapi leo.
Nyalandu ni ccm,chadema alikuja kutafuta fursa atoke vipLazaro Nyalandu wa Chadema amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dr Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM peke yake.
Nyalandu ameiomba radhi CCM na amewashukuru kwa kumpokea tena.
Kadhalika mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi Dr Suleiman Methew naye amerejea CCM alikokuzwa kisiasa.
Kazi Iendelee!
Kipindi cha miaka 6 ufisadi ndiyo umefanyika wa kuvunja rekodi kwa mujibu wa report ya sagIla BAVICHA siwaelewi kipindi Magu yupo walilalama wanarudi wanaanza kusema ufisadi..? [emoji20][emoji2379]
Hao 19 tushasapa, halafu ujue hakuna mwanaccm aliyekuzwa aliyedumu upinzaniCHADEMA TAFADHALI MSIPOROMOSHE MATUSI KWA MAMA ENDELEENI NA UPENDO ULE ULE MLIOMUONYESHA TANGU SIKU YA KWANZA, MSIBADILIKE KWA SABABU YA NYALANDU. MAMA KASEMA NA BADO KUNA MVUA INAKUJA YA UHAMISHO. 19 LOADING..........................
Bilionea Nyalandu uteuzi wa nini tena?Anatafuta uteuzi, never trust a politician
😂😂😂😂😂Lazaro Nyalandu wa Chadema amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dr Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM peke yake.
Nyalandu ameiomba radhi CCM na amewashukuru kwa kumpokea tena.
Kadhalika mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi Dr Suleiman Methew naye amerejea CCM alikokuzwa kisiasa.
Kazi Iendelee!