Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Wewe acha zako bhana! Nyarandu mkampa hadi uenyekiti wa kanda alafu unataka kusema nini hapa?

Lowassa alipewa mpaka kugombea urais, nini mwenyekiti wa chama huko maporini,na bado nilimponda vibaya, ndio itakuwa hiyo takataka iitwayo Nyalandu?
 
Kile chama cha wapiga dili kinaenda kurudi hewani.
 
Mpaka anaenda kupigiwa kura maana yake kamati kuu ya chama imempitia na kuona anafaa kwahiyo wakaona aende akashindane na wenzie ili yeyote atakae pita awe rais.

Kwa hiyo Nyarandu aliaminiwa mpaka na kamati kuu ya chama.

Aliaminiwa au ni hela yake? Labda hujui siasa.
 
watarudi wote tu tatizo CDM hawasomi mambo ya nyakati.wanatakiwa kuwa fexible na siyo rigid.wakubali tu kubadilika.dunia inabadilika kwa kasi nao yawapasa kubadilika pia.
Mbona una haraka ya kupost hata mtu hajamaliza kuongea daaah
 
Kando ya mito ya babeli ndipo tulipoketi tukalia tulipoikumbuka Sayuni,katika miti iliyo katikati yake tulivitundika vinubi vyetu......Sayuni ni tamu jamani Mimi ndio maana nasema sina. Chama.nachagua kazi ...hata wanasiasa wako kazini.
 
Ndivyo ninavyosikiliza hapa nikiwa Live kutoka Dodoma.

===
Lazaro Nyalandu amerejea CCM akitokea CHADEMA. Amerejea Aprili 30 katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM ulifanyika Dodoma.

Nyalandu aliwahi kuwa mtia wa kugombea urais kupitia Uchaguzi Mkuu 2020 kupitia CHADEMA. Ambapo katika hotuba yake ameshukuru kwa kumpokea.

Amesema katika nchi ya Ugenini wimbo hauimbiki.
kigogo alisema
 
Lowasa si mnasema akiibiwa kura? Kwa hiyo mlimchagua si ndiyo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa chadema stress tupu.
Mwambie Huyo tindo atulie, Siasa haihitaji mtu kuwa serious sana [emoji23]. It is like a game and we are the pieces
 
Ila BAVICHA siwaelewi kipindi Magu yupo walilalama wanarudi wanaanza kusema ufisadi..? [emoji20][emoji2379]
 
Lazaro Nyalandu wa Chadema amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.

Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chadema amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dr Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM peke yake.

Nyalandu ameiomba radhi CCM na amewashukuru kwa kumpokea tena.

Kadhalika mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Lindi Dr Suleiman Methew naye amerejea CCM alikokuzwa kisiasa.

Kazi Iendelee!
Nyalandu naona ameona kuna fursa anaweza ipata kwa kutokuwepo kwa Mwendazake
 
Kuwa upinzani haihitaji roho ya kizembezembe, kuwa upinzani lazima uwe umesimama madhubuti .
inategemea hicho chama kiko focused kiasi gani.unakaa kwenye kuti unategemea nn wakati watu wanaangalia maisha yao kama yanaenda.kazi iendelee.
 
Lowasa si mnasema akiibiwa kura? Kwa hiyo mlimchagua si ndiyo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwa chadema stress tupu.

Kwa taarifa yako niliipa cdm kura ya urais ili iwe na viti vingi vya ubunge, na sio kumpa Lowasa. Sinaga akili hiyo. Na kwamba sikuwahi kumkubali Lowasa toka akiwa ccm-cdm-ccm msimamo wangu huo hauna mjadala na uko wazi peupe hapa jukwaani.
 
Nakubaliana na ile kauli ya ccm ni ile ile
ccm ina wenyewe..............
 
Back
Top Bottom