Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Lazaro Nyalandu alipandisha ndege kwenda ughaibuni hakupandisha ?Vipi wewe unaonaje?
Ni mwizi au si mwizi?
Sasa ni zamu ya Lazaro kupondwa na CDM na upinzani kwa ujumla na kupata utetezi kwa vijana wa CCM
KUSIFU ,KUSHFU kiongozi kisa hayupo upande wako siyo afya kabisa mtu apewe sifa zake kwa kuzingatia ukweli bila itikadi hii itasaidia vinginevyo vijana wafuata upepo watakimbia mbele na kurudi nyuma sanaaa
Mimi naendelea kusema mchafu ni mchafu na msafi ni msafi haijalishi yupo chama gani