Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Sasa CDM mnakubalije kutapeliwa kila siku? Ni sawa na muislam safi kulishwa nyama ya kitimoto na kuambiwa baada ya kula kwenye nyumba moja zaidi ya mara 5, naye kila mara anawalaumu hao wenye nyumba!!! Mnalalamika kila siku kuhusu hao watu wanaotoka CCM, Mkiti wenu anawapokea, anawapa mavyeo makubwa makubwa, wanarudi CCM mnaendelea kulalamika! Tatizo lenu nini wajomba? Hivi hamuoni kuwa kuna shida kwenye kiti cha Mkiti?Akanyimwa kugombea urais maana ni tapeli kama lile zee Lowassa.