johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #281
Leo ndio unamkana?Fisadi limerudi kwa mafisadi wenzake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo ndio unamkana?Fisadi limerudi kwa mafisadi wenzake.
hahahahahahaaaaaaHaki ya nani Lissu anafukuzwa kwenye nyumba ya Nyalandu kule ubeligiji, duu maisha yanaenda kasi mno.
Tulishawaambia chadema ni SACCOS lakini mnabisha,
Nyimbo za shangwe haziimbiki ugenini, Lowasa na sumaye na slaa ziliwashinda
Leo ndio unamkana?
Sasa onesha wapi amemlamba Magufuli viatu.Si mlisema Nyarandu hataki kumlamba Magufuli viatu?
Hahahaaaa...... Sizitaki mbichi hizi!Ni msaliti tu mwizi mwizi alimkimbia Magu sasa kaona kuna gap anataka akasafirishe wanyama Dubai.
YupoHivi Salum Mwalimu yupo?
Basi endelea kumwambia mwiziSasa onesha wapi amemlamba Magufuli viatu.
Weka ushahidi wa kumpingaHebu weka ushahidi wa mimi kumkubali huyo mwizi na fisadi? Sijawahi kumkubali fisadi yoyote yule.
Heee[emoji23][emoji23][emoji23]Fisadi limerudi kwa mafisadi wenzake.
Lazaro Nyalandu wa CHADEMA amerejea CCM kupitia mkutano mkuu wa CCM leo jijini Dodoma.
Nyalandu aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA amesema walikuwa wamechukuliwa na walilazimishwa kumwimbia bwana lakini wao pamoja na mzee Lowassa, Sumaye na Dkt. Slaa wamegoma kuimba kwani bwana yuko CCM peke yake.
Nyalandu ameiomba radhi CCM na amewashukuru kwa kumpokea tena.
Kadhalika mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Lindi Dkt. Suleiman Methew naye amerejea CCM alikokuzwa kisiasa.
Kazi Iendelee.
Mkamfukuza?Kigogo alishasema tangia zamani bado Salum Mwalimu tu.
Kwa maana hiyo unakubali kwamba Magufuli alikuwa anakomesha wizi??Ni msaliti tu mwizi mwizi alimkimbia Magu sasa kaona kuna gap anataka akasafirishe wanyama Dubai.
Nyimbo haziimbiki nchi ya ugenini
Hawa ni kawaida yao mkuu kula matapishiKwa maana hiyo unakubali kwamba Magufuli alikuwa anakomesha wizi??
Sasa mbona huwa mnabisha[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣!Vipi sasa hivi Nyarandu ni jembe siyo jembe?
Hapana Magufuli alikuwa jambazi kuu. Unajua jambazi hapendi kuibiwa ndio maana aliwathibiti hawa makanjanja wengine ili aibe yeye vizuri na wateule wake wachache.Kwa maana hiyo unakubali kwamba Magufuli alikuwa anakomesha wizi??
Sasa mbona huwa mnabisha[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
😂😂😂.Kwa maana hiyo unakubali kwamba Magufuli alikuwa anakomesha wizi??
Sasa mbona huwa mnabisha[emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuwazoee tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!
Halafu hivi bado tu hujagundua kwamba hata hao ni wapenzi wa CCM?
Hakuna upinzani Tanzania hii. Si vyama, si wafuasi!
Wengine ni CCM kwa kujitambua ila wengine ni CCM kwa kutokujitambua [unwittingly].
Ha ha ha.