Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Nyumbu hao 🤣🤣🤣!

Halafu hivi bado tu hujagundua kwamba hata hao nyumbu ni wapenzi wa CCM?

Hakuna upinzani Tanzania hii. Si vyama, si wafuasi!

Wengine ni CCM kwa kujitambua ila wengine [kama huyo nyumbu] ni CCM kwa kutokujitambua [unwittingly].

Ha ha ha.
😂😂😂😂 Muda unaongea lugha nyepesi sana kuelewa.
 
Hapana Magufuli alikuwa jambazi kuu. Unajua jambazi hapendi kuibiwa ndio maana aliwathibiti hawa makanjanja wengine ili aibe yeye vizuri na wateule wake wachache.
Naye tena unamkana wakati umesema alikuwa anadhibiti wizi?
Leo Nyalandu kuhama CDM amekuwa kanjanja,ila alipokuwa anahamia CDM mlimwita shujaa.
Haki bavicha mna mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Heee[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mnamwita fisadi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwa nini wanasema hivyo?

Hao makamanda siku hizi nao si wamekuwa CCM…maana wao ndo wanaongoza kuimba mapambio ya Samia 🤣🤣.

Sasa sijui kwa nini leo wamenuna!
 
Hapana Magufuli alikuwa jambazi kuu. Unajua jambazi hapendi kuibiwa ndio maana aliwathibiti hawa makanjanja wengine ili aibe yeye vizuri na wateule wake wachache.

Sasaivi mnalopokalopoka tu ilimuonekane mpo hamsomi hata mnachoandika.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuwazoee tu.

Sasa hivi wameungana nasi kumsifu Samia eti ili kumkomesha marehemu.
Hahahaa ajabu kweli!

Hata hayajui ‘adui’ yao nani!

Wasimtukane bure huyo Nyalandu maana hata wao wanamuunga mkono Samia.

Ila in typical nyumbu fashion, leo watavimba hadi kukaribia kupasuka.

Samia 2025 ataweka rekodi. Atashinda kwa zaidi ya 90%.

You heard it here first…
 
Kumbe kamati kuu ya chadema ilihongwa hela na Nyarandu?

Basi zile tetesi kwamba Lowasa aliinunua chadema kwa bilioni 10 ni za kweli!
Inaonekana hujawahi kupitia nyuzi zangu vizuri, hilo la kwamba Lowassa alihonga ili apewe nafasi ya kugombea urais halina mjadala, na nimekuwa nikilisema mara kibao. Sina uhakika na kiwango, ila alihonga.

Na Nyalandu pia alihonga ili apate nafasi, bahati mbaya hakuwa na mvuto kwa wanacdm, na tulikuwa tunamponda waziwazi na nyuzi zetu Zipo humu humu jukwaani. Yeye kurudi ccm ni sawa na kuvuja kwa pakacha.
 
Kwa nini wanasema hivyo?

Hao makamanda siku hizi nao si wamekuwa CCM…maana wao ndo wanaongoza kuimba mapambio ya Samia [emoji1787][emoji1787].

Sasa sijui kwa nini leo wamenuna!
Nashangaa leo hawajaimba pambio[emoji1787][emoji1787]
Ila CDM wanachekesha sana,nacheka kama chizi hapa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna niliposema "magufuli anadhibiti wezi". Nionyeshe tuendelee.
Nawewe unaroho ngumu kama paka, wenzako wanachungulia uzi kama mnavyo chunguliaga mamba mto mara,we unang'ang'ana uonyeshwe,uonyeshwe nini kwani hujui postiyako ni nambangapi?.

Kuwa na aibukidogo kamanda.
 
Back
Top Bottom