Lazaro Nyalandu arudi rasmi Chama cha Mapinduzi akitokea CHADEMA

Haki ya nani Lissu anafukuzwa kwenye nyumba ya Nyalandu kule ubeligiji, duu maisha yanaenda kasi mno.
Tulishawaambia chadema ni SACCOS lakini mnabisha,

Nyimbo za shangwe haziimbiki ugenini, Lowasa na sumaye na slaa ziliwashinda
hahahahahahaaaaaa
 

Aliondoka kwasababu ya Lissu kupigwa risasi na mtu ambaye lissu alimtaja katangulia mbele ya haki si jambo la kushangaza Nyalandu kurudi.
 
CCM wanajua siku Mnyika na Ally Bananga watakayorudi CCM,lakini masikini ya Mungu Chadema wenyewe hawajui.
CCM wanaifahamu vema hivi vyama vya upinzani mpaka kwenye uvungu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]!

Halafu hivi bado tu hujagundua kwamba hata hao ni wapenzi wa CCM?

Hakuna upinzani Tanzania hii. Si vyama, si wafuasi!

Wengine ni CCM kwa kujitambua ila wengine ni CCM kwa kutokujitambua [unwittingly].

Ha ha ha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Tuwazoee tu.

Sasa hivi wameungana nasi kumsifu Samia eti ili kumkomesha marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…