Niache kumsikiliza Mama akihutubia Bunge la Kenya nimsikilize huyu mtafuta fursa 😎Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Umasahau kuwa kilichomuoandoa CCM ni wale Twiga, na sasa anaona anaweza kupata pumzi tena? Huyu jamaa alikimbia Iowa bila hata kumaliza shule kwa vile alikuwa na kesi ya FBI lakini akapata connection ya kuwa karibu na mama Anna Mkapa ambaye alimhifadhi kufuta kesi ile. Jamaa anajua sana kutumia opportunities!
Amedai cdm ni dhaifu sana, ila Magufuli akaagiza Tiss wachapishe karatasi za kura na yeye jina lake likae mwanzo, kisha la Tundu Lisu likae mwisho! Je cdm isingekuwa dhaifu ccm wangekuwa na hali gani, iwapo waliamua kufanya uhayawani wa wazi vile dhidi ya chama dhaifu?Amedai Chadema ni dhaifu sana!
Duh....!Amedai Chadema ni dhaifu sana!
Kwani leo siyo zamu yako ya kulinda kaburi?Ngoja aanike ukanjanja wa happo ufipani mpaka tujue nani aliyechonga vilevikaratasi na kuvisambaza eti kula
Bado nyinyi mayatima, sisi tunadunda na mama Samia tuMBONA UNAWEWESEKA DADA YANGUU?? NA BADOOO
Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!
Namulinda nyalanduu wakati wa kuanika ukanjanja wa ufipaniiKwani leo siyo zamu yako ya kulinda kaburi?
Kumbe na wewe unampenda mwenyekiti wanguu wa CCM CHAMA DUME?? kwa hiyo hule kanjanja mwamba tuvushe wa ufipa mumeshamkimbia woteee??? Haaaa haaaaa, karibu saaaanaaa.Bado nyinyi mayatima, sisi tunadunda na mama Samia tu
Huyo angetulia kimya ale pension yake tu, a move on bila kuanza tena mipasho... kaazikweli kweli siasa za bongo.Niache kumsikiliza Mama akihutubia Bunge la Kenya nimsikilize huyu mtafuta fursa 😎
Kwani na Nyalandu ni msukuma?Namulinda nyalanduu wakati wa kuanika ukanjanja wa ufipanii
Kwani na Nyalandu ni msukuma?
Hivi mtu kwenye kutafuta mpaka udhalilike namna hii kwa kulamba miguu ya watawala kwa kukandia wengine. Hizi siasa za Africa ni shida sanaAliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.
Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.
Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.
Kazi Iendelee!