Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya kati na mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho mh Nyalandu kesho 3/5/2021 asubuhi atazungumza na taifa kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na runinga ya Clouds.

Wananchi wote mnaombwa kufuatilia ili muyselewe madhaifu ya upinzani na hasa Chadema na kwanini CCM itaendelea kutawala kwa miaka 50 ijayo.

Maswali na hoja zenu zitajibiwa na mwanasiasa huyu nguli na aliyetegemewa sana na Chadema.

Kazi Iendelee!
Mm ni ccm lakini kama ataizunguzia Chadema vibaya atakuwa hana fadhila awaige Sumai na Lowassa hawakuongea mengi kwani Chadema isingekuwepo yy asingeitisha Wandishi ashukuru tu alikotoka.
Itamsaidia sana badala ya kuitisha Wandishi ili Mama amkumbuke ktk teuzi kama tezi ipo ataipata tu bila habari
 
Nyalandu Hana jipya.Ccm aliondoka kumkimbia jpm.Huo ndo ukweli.Mengine Ni uwongo mtupu.Wapinzani Wana mapungufu yao, Ila kikubwa wanakwamishwa kwa chama dola ccm na kukosekana kwa tume huru.Yaliyofanyika uchaguzi mkuu mwaka Jana yanajulikana.Mnyonge mnyongeni, haki zake mpeni
 
Back
Top Bottom