Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

Mm ni ccm lakini kama ataizunguzia Chadema vibaya atakuwa hana fadhila awaige Sumai na Lowassa hawakuongea mengi kwani Chadema isingekuwepo yy asingeitisha Wandishi ashukuru tu alikotoka.
Itamsaidia sana badala ya kuitisha Wandishi ili Mama amkumbuke ktk teuzi kama tezi ipo ataipata tu bila habari
 
Nyalandu Hana jipya.Ccm aliondoka kumkimbia jpm.Huo ndo ukweli.Mengine Ni uwongo mtupu.Wapinzani Wana mapungufu yao, Ila kikubwa wanakwamishwa kwa chama dola ccm na kukosekana kwa tume huru.Yaliyofanyika uchaguzi mkuu mwaka Jana yanajulikana.Mnyonge mnyongeni, haki zake mpeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…