Nyoko zako!!Wasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Taarifa hii siyo ya kweli.ndugu wanajf,taarifa hii ni y kupuuza kwani haina ushahid ama vielelezo vyovyote.waliongea lini? Kwa misingi ipi? Na cha kushangaza mtoa taarifa yeye kama nani?? Huu ni uongo wa waziwazi .huyu ni msukule wa Lumumba.Ila hii imekaa kama vile umeitunga tu!!!!🙄🙄🙄
Kasome katiba yenu kwanza au waombe wajuzi wakutafutie na wakuonyeshe kipengele cha muda wa ukomo wa Mwenyekiti huko kwenu. Baada ya hapo ndio uje na tungo za kwenye njozi zako.Wasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Nani kakutukana?? Acha kupanik.mijitu ya buku 7 ya Lumumba utayajua tu.kamanda acha matusi
Mbinu hizo hata watoto wa chekechea walishazichoka.Kwani kwenye hii mada ametajwa Mbowe?
Kajifunze tena PROPAGANDAWasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Hii lijamaa halijui hata kutengeneza uongo,kwa maana hiyo elimu yake ni ya ndio mzee.katumwa na jiwe ili ahalibu chadema.kamwe kamwe !!chadema inatikisa nchi nzima.chadema ni mpango wa mungu na çcm ni mpango wa shetani .Mbinu hizo hata watoto wa chekechea walishazichoka.
Tuoneshe ccm kuna kifungu gani kinazungumza ukomo wa mwenyekiti?Wasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Mkuu kuwa mpole anayepeleka ni Mh LOWASAKasome katiba yenu kwanza au waombe wajuzi wakutafutie na wakuonyeshe kipengele cha muda wa ukomo wa Mwenyekiti huko kwenu. Baada ya hapo ndio uje na tungo za kwenye njozi zako.
Mweee, mnamwogopa Mbowe mpaka mnakuwa na ugonjwa wa Mfalme Jiwe.
Hahahaa hivi kumbe Lowas na Nyaland ni makamanda....kweli sijui tumerogwa na naniSafi sana makamanda Lowasa na Nyalandu.
Kwa kuwa Chadema inajali democrasia bila shaka watasikiliza mawazo yenu na kuyafanyia kazi.
Itapendeza mno siku moja Nyalandu kijana msomi kutoka Ilboru na USA kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Kuna kitu wanakitafuta na watakipata muda si mrefuKwa hiyo wanacheza na kifo?
UchocheziWasalaam wana jamvi.
Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.
Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...
Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Mbona kama umeumia mkuuHili jambo lina maslahi gani huko kwenu ccm mpaka mnaonekana very interesting?
Halafu kumbe mnaishi Nyumba moja na Lowassa na Nyalandu? Poleni sana
Kwa mujibu wa chanzo kipi?Wasalaam wana jamvi.