Tetesi: Lazaro Nyalandu na Mzee Lowassa kupeleka mapendekezo kwenye kamati kuu ya CHADEMA kuhusu ukomo wa nafasi ya mwenyekiti.

Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Nyoko zako!!
 
Ila hii imekaa kama vile umeitunga tu!!!!🙄🙄🙄
Taarifa hii siyo ya kweli.ndugu wanajf,taarifa hii ni y kupuuza kwani haina ushahid ama vielelezo vyovyote.waliongea lini? Kwa misingi ipi? Na cha kushangaza mtoa taarifa yeye kama nani?? Huu ni uongo wa waziwazi .huyu ni msukule wa Lumumba.
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Kasome katiba yenu kwanza au waombe wajuzi wakutafutie na wakuonyeshe kipengele cha muda wa ukomo wa Mwenyekiti huko kwenu. Baada ya hapo ndio uje na tungo za kwenye njozi zako.
Mweee, mnamwogopa Mbowe mpaka mnakuwa na ugonjwa wa Mfalme Jiwe.
 
Nafasi ya uenyekiti haijawahi kuchezewa hapo Chadema, inafahamika kabisa kabisa.
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Kajifunze tena PROPAGANDA
 
Sio mbaya kichama ila kiprotoko ni mbaya kwa mtu fulani
 
Mbinu hizo hata watoto wa chekechea walishazichoka.
Hii lijamaa halijui hata kutengeneza uongo,kwa maana hiyo elimu yake ni ya ndio mzee.katumwa na jiwe ili ahalibu chadema.kamwe kamwe !!chadema inatikisa nchi nzima.chadema ni mpango wa mungu na çcm ni mpango wa shetani .
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Tuoneshe ccm kuna kifungu gani kinazungumza ukomo wa mwenyekiti?

Charity begins at home.
 
Kasome katiba yenu kwanza au waombe wajuzi wakutafutie na wakuonyeshe kipengele cha muda wa ukomo wa Mwenyekiti huko kwenu. Baada ya hapo ndio uje na tungo za kwenye njozi zako.
Mweee, mnamwogopa Mbowe mpaka mnakuwa na ugonjwa wa Mfalme Jiwe.
Mkuu kuwa mpole anayepeleka ni Mh LOWASA
 
Safi sana makamanda Lowasa na Nyalandu.
Kwa kuwa Chadema inajali democrasia bila shaka watasikiliza mawazo yenu na kuyafanyia kazi.

Itapendeza mno siku moja Nyalandu kijana msomi kutoka Ilboru na USA kuwa mwenyekiti wa Chadema.
Hahahaa hivi kumbe Lowas na Nyaland ni makamanda....kweli sijui tumerogwa na nani
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Uchochezi
 
Hili jambo lina maslahi gani huko kwenu ccm mpaka mnaonekana very interesting?
Halafu kumbe mnaishi Nyumba moja na Lowassa na Nyalandu? Poleni sana
Mbona kama umeumia mkuu
 
Wasalaam wana jamvi.

Wanachama mashuhuri ndani ya chadema Nyalandu na Lowasa wameandaa mapendekezo kuhusu ukomo wa mwenyekiti wa chama ndani ya chadema.

Mapendekezo hayo yanayo lenga kupendekeza mabadiliko kwenye baadhi ya vifungu kwenye katiba ya chadema ambayo yataweka ukomo wa uenyekiti kwa mtu mmoja na kuwa vipindi viwili tuu ambayo ni miaka kumi tuu na kumpisha mwingine...

Mapendekezo hayo wanataraji kuyawasilisha kwenye kikao kijacho cha kamati kuu na wanatarajia yawe chachu ya mabadiliko ndani ya chadema na kuendelea kuwa imara.
Kwa mujibu wa chanzo kipi?

Vv
 
Kumbe lengo la kuja kwao ndio hilo?
Niwaulize tu wanaweza kuhimili mikikimikiki kama Mh Mbowe au wanataka kutuulia chama chetu?
 
Back
Top Bottom