Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??

Hao nyumbu wachache wanaomtetea ipo siku watachoka.
 
Kwahiyo Lisu ambae hajawa kama Lowasa kawapa faida gani?

Lowasa aliwapa chadema wabunge 60.
Lisu amewapa chadema mbunge mmoja.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nyarandu angegombea urais
 
Kwahiyo Lisu ambae hajawa kama Lowasa kawapa faida gani?

Lowasa aliwapa chadema wabunge 60.
Lisu amewapa chadema mbunge mmoja.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nyarandu angegombea urais
Yesu Kristo alisema huwezi kumpa mbwa chakula cha watoto, chadema haiwezi kuwapa uenyekiti makanjanja wa ccm ni kuua chaama
 
Kabisa mkuu. Huyu hajielewi mchumia tumbo tu. Mfumo anaousema wa kumfukuza Membe? Membe si alitaka kugombea mbona walimfukuza!!!! Na katiba yao inamlinda!!!
 
CDM Mmevuliwa nguo mahitaji kuchutama. Lini mtakuwa chama cha mfano?
 
Ukisikia umalaya was kisiasa ndio huu! Nyalandu itoshe tu kusema nyamaza usubiri uteuzi.
 
Kabisa mkuu. Huyu hajielewi mchumia tumbo tu. Mfumo anaousema wa kumfukuza Membe? Membe si alitaka kugombea mbona walimfukuza!!!! Na katiba yao inamlinda!!!
Mfumo wa fomu moja bila copy, ukitaka kugombea unafukuzwa huo ndiyo mfumo?
 
Huyu Nyalandu amejiharibia sana kwenda kwenye media kuisema chadema, ilikuwa abaki kimya lakini kama shida yake ilikuw kurudi chama chama cha Mapinduzi ndio ameshrudi. Ingemsaidia kupata heshima na upole ambayo nadhani ndio tabia yake. Lakini sasa ni kama ameamsha popo.,
 
Huyu Nyalandu alimkimbia jiwe! lililotaka kumsaga saga kwa kushiriki ujambazi wa mali asili zetu! CDM walikukaribisha kukuepusha na mkono wa jiwe ili akikufuata useme ni SIASA. Unatakiwa uwashukuru.
Ukienda singida hata mtoto wa miaka miwili anajua Lazaro nyarandu ni King Maker wa kuuza pembe za ndovu, modus operandi , or tactics walikuwa wanachukuwa mafuta ya alizeti wanachukuwa madumu ya Lita 20 wanakata kitako sehemu ndogo wanakata vipande vya pembe wanajaza kwenye madumu wanaziba vizuri sana madumu ya rangi , harafu wanajaza mafuta ya alizeti na kuweka labels wanapeleka Burundi na transit cargo . Ikifika Burundi wanatoa hizo pembe wanapeleka China.
 
Nimeishia hapo kwneye RED, mana inaonekana hana kumbukumbu huyu.
Hivi watu si walikatazwa mpaka kumuombea mgonjwa?
 
Tatizo la CHADEMA ni kupokea mamluki toka CHADEMA, kama L. Nyalandu.
 
Kwahiyo Lisu ambae hajawa kama Lowasa kawapa faida gani?

Lowasa aliwapa chadema wabunge 60.
Lisu amewapa chadema mbunge mmoja.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nyarandu angegombea urais
Nyalandu amewapa Chadema wabunge wangapi?
 
Kwahiyo Lisu ambae hajawa kama Lowasa kawapa faida gani?

Lowasa aliwapa chadema wabunge 60.
Lisu amewapa chadema mbunge mmoja.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora nyarandu angegombea urais
Kama Lissu aliwapa Chadema mbunge mmoja, mbona tunawaona wabunge wengi zaidi ya mmoja na wote mnaungana nao kusema ni wabunge wa Chadema? Njia ya mwongo ni fupi.
 
Yesu Kristo alisema huwezi kumpa mbwa chakula cha watoto, chadema haiwezi kuwapa uenyekiti makanjanja wa ccm ni kuua chaama
Watu wamepewa hadi nafasi za kugombea urais nini nafasi ya uenyekiti bhana?

Chadema ni kama jalala kila uchafu toka ccm unatupwa huko kisha unaokotwa tena kuja kufanyiwa recycle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…