Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Lazaro Nyalandu: Tatizo kubwa la CHADEMA ni Uongozi wa juu, CCM imejaliwa mfumo

Huo mfumo wa CCM anaousifia ulienda kuchunga wapi enzi za JPM?
 
Huyu Nyalandu alimkimbia jiwe! lililotaka kumsaga saga kwa kushiriki ujambazi wa mali asili zetu! CDM walikukaribisha kukuepusha na mkono wa jiwe ili akikufuata useme ni SIASA. Unatakiwa uwashukuru.
Hakika umenena
 
Nadhani Mbowe amechoka, apumzike. Tatizo ukimtaja Mbowe CDM watakurushia mawe hadi chupa za bia.

Kwani Mbowe ndio pekee anaweza kuwa mwenyekiti wa chama? Kwa nini asije mwingine mwenye vision tofauti?
 
Nakushauri Lazaro ungetulia kimya. Maadamu umepokelewa tulia. Ukimya Ni hekima nayo. Usiwasema vibaya waliokusitiri hakuna vyumba au familia inayokosa matatizo. Kuwa na hekima Kama lowasa. Hata huko ccm usijione upo salama Sana.
 
Dada tulia punguza hasira utatupa mimba bure...dictator keshakufa kwa covid toka tarehe 9 mwezi wa 3 mwaka 2021
Nchi hii Dictator number 1 ni Freeman Aikaeli Mbowe huyu siku Mungu akimuita utazuka ugomvi mkubwa sana wa kugombea madaraka Chadema kati ya familia ya ukoo wa Mbowe na wanaharakati uchwala kina Lissu na wenzake.
 
Nyarandu wewe Ni mpenda vyeo.Ulikwenda Chadema ili Ugombee Urais tu.Jaribu kujitasimini Kama wewe Ni msafi.Wewe Ni. opportunist.Watu wa kanisa wanakujua vizuri tabia yako ya utaperi kabla ya kudandia siasa
 
Nyarandu wewe Ni mpenda vyeo.Ulikwenda Chadema ili Ugombee Urais tu.Jaribu kujitasimini Kama wewe Ni msafi.Wewe Ni. opportunist.Watu wa kanisa wanakujua vizuri tabia yako ya utaperi kabla ya kudandia siasa
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
 
Lazaro Nyalandu alimgaragaza Tundu Lisu kwenye kura za kamati kuu.!

Huyu mzee wa MIGA ,mwanasheria a Acacia anaaminika na nani sasa kama hadi kamati kuu anashindwa kura??
Alimgaragaza kwa kupata kura 6 dhidi ya 24 za Lissu, uelewe Nyalandu kichwa maji hata hesabu za darasa la tatu hazijui?
 
Mkoa wa singida ipo siku itakuja kutoa kiongozi mkubwa wa nnchi hii mm naona kbsa kuanzi kina pro mkumbo ,Dk madelu , nk hat nyalandu pia Ni kiongozi mzuri pia mbeleni
 
Sasa unategemea Lazaro asemeje ili aeleweke kuwa kweli ametoka kabisa, tuna wanasiasa wapumbavu sana nchi hii na hawafai hata kupewa airtime kama hizi kwenye media's maana ni opportunistic tu
 
Siasa ni numbers, ni sahihi kupokea wanachama wengi kwa kadri uwezavyo lakini si sahihi wao kupewa uongozi au nafasi za kugombea muda mfupi tu baada ya kuhamia chamani, wanatakiwa wafanye kazi, wajenge chama na waamini katika misingi na itikadi ya chama ndipo baada ya muda kwa mujibu wa katiba ya chama wapewe nafasi za kugombea.

Kwa hili la CDM kupokea tu watu na kuwapa uongozi hawawezi kukwepa lawama.

Nyalandu nae kama hana hoja za msingi za yeye kurudi CCM akae kimya kwani anajidhalilisha na kujivua nguo. Kwa mujibu wake CDM kuna shida ya uongozi anatuambia nini juu ya CCM kupokea waunga mkono juhudi na kuwapitisha wote kugombea ubunge?
 
Back
Top Bottom