Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio. Vp unawashwa wapi tukukune?Chadema wote mmekosa akili ya kuongoza Chama ni Mbowe tu mwenye akili?
Nyarandu binafsi nakueshim na mahamuzi yake nayaeshim,ila asiwe muongo na kutafuta huruma ya kupata cheo ccm, kamati kuu hata Kama alimgalagaza mh lissu, so alitaka jina lake ndo lije tu barazakuu bila wagombea wengine ? Si ndo maana jina lake pia halikukatwa yakiwemo na wenzake ambao anadai aliwashinda kupelekwa baraza kuu la chama kumpata mtu mmoja KWA kupigiwa kura na kugalagazwa vibaya Sasa hapa tatizo liko wapi? Mbona alipo KWA Sasa wote waliotaka kugombea au kutia nia walishughulikiwa, na form ya mgombea wa chama chake ilikua moja, so Kama anasema mfumo wa chama alichotoka sio mzuri ,vipi anauzungumziaje mfumo wa chama chake Cha Sasa kuanzia majimboni mpaka taifa katika mchakato mzima wa mwaka jana!Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa,anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa ,matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu.
Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi
==================
“Nilipoenda nchi ya ugenini (CHADEMA) wimbo ulikuwa haumbiki kwa namna ambavyo nilikuwa naangalia matukio, ilipotokea Mheshimiwa Rais anaumwa kuna baadhi ya viongozi walijitolea wakasema huyu hafai aondoke tufurahi, ilikuwa inanikwaza kupita kiasi”
“Niliposafiri kwenda Chato kuzika mashambulizi ambayo yalikuwa yananipata, hayakutoka kwa wana-CCM, hayakutoka kwa wana-CHADEMA wa kawaida, yalitoka kwa baadhi wenye msimamo mkali, unamshambuliaje mtu alieenda kuzika kiongozi wake wa nchi?"
“Wakati wa matatizo ya Lissu mimi binafsi sikujali kwamba ni CHADEMA, nilimuona ni Mtanzania ni kiongozi mwenzangu kule Singida, nakumbuka hata Mhe Rais alienda pia kumuona. Lakini wanachama wa CCM kuanzia Rais hadi viongozi hakuna aliepiga simu au kututukana”
“Kuna mitihani ilitokea kwenye uchaguzi, kulikuwa na chaguzi za aina mbili, moja ilikuwa kupigiwa kura kwenye kamati, tunaenda kwenye Baraza Kuu. Kwenye Kamati Kuu Nyalandu alipata 100%, nilimgaragaza kweli kweli, kilichotokea viongozi wakasema Nyalandu asije akawa kama Lowassa”
“Uchaguzi wa mgombea ubunge Singida Kaskazini, wajumbe wamefika usiku ule kuanzia saa kumi na mbili watu wananipigia simu wananiambia mbona mgombea Urais wako hakutaki anasema kidogo umkoseshe kugombea Urais kule Dar es Salaam”
“Wana-CHADEMA watu wa kawaida wengi ni watu wazuri, ni watu ambao wanatamani nchi bora, ambacho wanawazidi wana-CCM wewe itisha mkutano watakuja kwa mguu, watatoka walikotoka, watajitolea katika hali ambayo hutoamini”
“Siasa sio matusi, siasa sio kukoseana heshima, sio kutukana kiongozi wa nchi, siasa sio kuwatukana wale unaotofautiana nao, ni kusema hoja zako mbadala”
“Chama Cha Mapinduzi kimejaliwa mfumo, kilivyotengeneza itifaki ya chama, namna ambavyo walitengeneza mfumo wa kutoa dukuduku zako, mfumo wa kuchaguana. Kina strength ya mfumo, naamini imani ya watu tukipeleka kwa public, mwananchi wa kawaida anatoa kura” -
Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa,anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa ,matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu.
Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi
==================
“Nilipoenda nchi ya ugenini (CHADEMA) wimbo ulikuwa haumbiki kwa namna ambavyo nilikuwa naangalia matukio, ilipotokea Mheshimiwa Rais anaumwa kuna baadhi ya viongozi walijitolea wakasema huyu hafai aondoke tufurahi, ilikuwa inanikwaza kupita kiasi”
“Niliposafiri kwenda Chato kuzika mashambulizi ambayo yalikuwa yananipata, hayakutoka kwa wana-CCM, hayakutoka kwa wana-CHADEMA wa kawaida, yalitoka kwa baadhi wenye msimamo mkali, unamshambuliaje mtu alieenda kuzika kiongozi wake wa nchi?"
“Wakati wa matatizo ya Lissu mimi binafsi sikujali kwamba ni CHADEMA, nilimuona ni Mtanzania ni kiongozi mwenzangu kule Singida, nakumbuka hata Mhe Rais alienda pia kumuona. Lakini wanachama wa CCM kuanzia Rais hadi viongozi hakuna aliepiga simu au kututukana”
“Kuna mitihani ilitokea kwenye uchaguzi, kulikuwa na chaguzi za aina mbili, moja ilikuwa kupigiwa kura kwenye kamati, tunaenda kwenye Baraza Kuu. Kwenye Kamati Kuu Nyalandu alipata 100%, nilimgaragaza kweli kweli, kilichotokea viongozi wakasema Nyalandu asije akawa kama Lowassa”
“Uchaguzi wa mgombea ubunge Singida Kaskazini, wajumbe wamefika usiku ule kuanzia saa kumi na mbili watu wananipigia simu wananiambia mbona mgombea Urais wako hakutaki anasema kidogo umkoseshe kugombea Urais kule Dar es Salaam”
“Wana-CHADEMA watu wa kawaida wengi ni watu wazuri, ni watu ambao wanatamani nchi bora, ambacho wanawazidi wana-CCM wewe itisha mkutano watakuja kwa mguu, watatoka walikotoka, watajitolea katika hali ambayo hutoamini”
“Siasa sio matusi, siasa sio kukoseana heshima, sio kutukana kiongozi wa nchi, siasa sio kuwatukana wale unaotofautiana nao, ni kusema hoja zako mbadala”
“Chama Cha Mapinduzi kimejaliwa mfumo, kilivyotengeneza itifaki ya chama, namna ambavyo walitengeneza mfumo wa kutoa dukuduku zako, mfumo wa kuchaguana. Kina strength ya mfumo, naamini imani ya watu tukipeleka kwa public, mwananchi wa kawaida anatoa kura” -
hapo nyarandu umenena na hiki kirusi kinachoitafuna CDM hakitaisha sababu kuna kundi ndani ya chama hicho wao kwa siasa ni uadui.kila anayefanya kinyume na mtazamo wao kwao ni adui.wajipange upya sababu hata wafuasi wao wanaanza kukata tamaa na chama chao.migogoro haiishi,matusi hayaishi sasa hicho ni chama au ni genge tu la wahuni fulani?Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa,anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa ,matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu.
Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi
==================
“Nilipoenda nchi ya ugenini (CHADEMA) wimbo ulikuwa haumbiki kwa namna ambavyo nilikuwa naangalia matukio, ilipotokea Mheshimiwa Rais anaumwa kuna baadhi ya viongozi walijitolea wakasema huyu hafai aondoke tufurahi, ilikuwa inanikwaza kupita kiasi”
“Niliposafiri kwenda Chato kuzika mashambulizi ambayo yalikuwa yananipata, hayakutoka kwa wana-CCM, hayakutoka kwa wana-CHADEMA wa kawaida, yalitoka kwa baadhi wenye msimamo mkali, unamshambuliaje mtu alieenda kuzika kiongozi wake wa nchi?"
“Wakati wa matatizo ya Lissu mimi binafsi sikujali kwamba ni CHADEMA, nilimuona ni Mtanzania ni kiongozi mwenzangu kule Singida, nakumbuka hata Mhe Rais alienda pia kumuona. Lakini wanachama wa CCM kuanzia Rais hadi viongozi hakuna aliepiga simu au kututukana”
“Kuna mitihani ilitokea kwenye uchaguzi, kulikuwa na chaguzi za aina mbili, moja ilikuwa kupigiwa kura kwenye kamati, tunaenda kwenye Baraza Kuu. Kwenye Kamati Kuu Nyalandu alipata 100%, nilimgaragaza kweli kweli, kilichotokea viongozi wakasema Nyalandu asije akawa kama Lowassa”
“Uchaguzi wa mgombea ubunge Singida Kaskazini, wajumbe wamefika usiku ule kuanzia saa kumi na mbili watu wananipigia simu wananiambia mbona mgombea Urais wako hakutaki anasema kidogo umkoseshe kugombea Urais kule Dar es Salaam”
“Wana-CHADEMA watu wa kawaida wengi ni watu wazuri, ni watu ambao wanatamani nchi bora, ambacho wanawazidi wana-CCM wewe itisha mkutano watakuja kwa mguu, watatoka walikotoka, watajitolea katika hali ambayo hutoamini”
“Siasa sio matusi, siasa sio kukoseana heshima, sio kutukana kiongozi wa nchi, siasa sio kuwatukana wale unaotofautiana nao, ni kusema hoja zako mbadala”
“Chama Cha Mapinduzi kimejaliwa mfumo, kilivyotengeneza itifaki ya chama, namna ambavyo walitengeneza mfumo wa kutoa dukuduku zako, mfumo wa kuchaguana. Kina strength ya mfumo, naamini imani ya watu tukipeleka kwa public, mwananchi wa kawaida anatoa kura” -
shida ipo lkn kwa chadema ni kubwa zaidi.ni siasa za uadui,za chuki na kila aina ya uzandiki.Aache porojo atulie atapata cheo kwani ccm hakuna shida ya uongozi?
Clouds wamenisikitisha Sana kumpa huyu jamaa airtimeAkiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa,anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa ,matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu.
Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi
==================
“Nilipoenda nchi ya ugenini (CHADEMA) wimbo ulikuwa haumbiki kwa namna ambavyo nilikuwa naangalia matukio, ilipotokea Mheshimiwa Rais anaumwa kuna baadhi ya viongozi walijitolea wakasema huyu hafai aondoke tufurahi, ilikuwa inanikwaza kupita kiasi”
“Niliposafiri kwenda Chato kuzika mashambulizi ambayo yalikuwa yananipata, hayakutoka kwa wana-CCM, hayakutoka kwa wana-CHADEMA wa kawaida, yalitoka kwa baadhi wenye msimamo mkali, unamshambuliaje mtu alieenda kuzika kiongozi wake wa nchi?"
“Wakati wa matatizo ya Lissu mimi binafsi sikujali kwamba ni CHADEMA, nilimuona ni Mtanzania ni kiongozi mwenzangu kule Singida, nakumbuka hata Mhe Rais alienda pia kumuona. Lakini wanachama wa CCM kuanzia Rais hadi viongozi hakuna aliepiga simu au kututukana”
“Kuna mitihani ilitokea kwenye uchaguzi, kulikuwa na chaguzi za aina mbili, moja ilikuwa kupigiwa kura kwenye kamati, tunaenda kwenye Baraza Kuu. Kwenye Kamati Kuu Nyalandu alipata 100%, nilimgaragaza kweli kweli, kilichotokea viongozi wakasema Nyalandu asije akawa kama Lowassa”
“Uchaguzi wa mgombea ubunge Singida Kaskazini, wajumbe wamefika usiku ule kuanzia saa kumi na mbili watu wananipigia simu wananiambia mbona mgombea Urais wako hakutaki anasema kidogo umkoseshe kugombea Urais kule Dar es Salaam”
“Wana-CHADEMA watu wa kawaida wengi ni watu wazuri, ni watu ambao wanatamani nchi bora, ambacho wanawazidi wana-CCM wewe itisha mkutano watakuja kwa mguu, watatoka walikotoka, watajitolea katika hali ambayo hutoamini”
“Siasa sio matusi, siasa sio kukoseana heshima, sio kutukana kiongozi wa nchi, siasa sio kuwatukana wale unaotofautiana nao, ni kusema hoja zako mbadala”
“Chama Cha Mapinduzi kimejaliwa mfumo, kilivyotengeneza itifaki ya chama, namna ambavyo walitengeneza mfumo wa kutoa dukuduku zako, mfumo wa kuchaguana. Kina strength ya mfumo, naamini imani ya watu tukipeleka kwa public, mwananchi wa kawaida anatoa kura” -
Mkutano mkuu wa Uchaguzi wa Chadema kwa kiasi kikubwa (kifedha) ulifanikishwa na Nyalandu.Mkuu ukihoji demockrasia ya chadema upo sawa kabisa. Lakini ukumbuke ni kama Jana tu kiongozi mmoja wa ccm kasema idadi kubwa ya wabunge waliopita ccm hawakushinda ktk kura za maoni.
Ninachotaka kusema hapa mkuu ni kwamba tunahaki ya kuhoji demokrasia ktk vyama vyetu lakini isiwe ni kwa sababu flank kasema.
Hawa viongozi wanaohama vyama wengi wanakuwa hawaaminiki kabisa.
Tuhoji demokrasia objectively kwa kuangalia uhalisia wa mazingira ya vyama vya siasa na namna ya uendeshaji wake.
Ukiona mke anakumbuka mume Alie muacha awali, ujue mume mpya hauwajibiki ipasavyo!!Tatizo la Chadema ni uongozi,tatizo la CCM ni nini? hadi ukakimbia uko na kuacha ubunge?
Kawavua nguo wakina nani.?unaonesha upeo wako wa kuhoji mambo unaishia wapi zaidi ni ushabiki maandazi mzee wewe ni kopo tupu kichwani hamna kitu. Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kumsikiliza huyo Nyalandu.Nyalandu Leo kawavua nguo, Safi sana
Kajivua nguoNyalandu Leo kawavua nguo, Safi sana
Mbowe ataachia cheo chake KWA wakati na mda muhafaka, sio KWa matakwa yenu ili mpate mwanya wa kuweka mapandikizi yenu, mfano Nyarandu, nk Chadema ni imani, chama kimejengwa KWA dam na jasho that's ukija na jazba za kukiua , unakufa au kupotea kisiasa ila bado hamuelewi, wapi, WASIRA, n.kMbowe achie ngazi umelalamikiwa na wengi,.
ipo siku hao unaowalipa kukutetea watachoka.
Yap kajivua mwenyeweKajivua nguo
Anakimbia CCM kwenda CDM na kutegemea kwamba mila, destruri, taratibu , dua , sara na mengine yoyote, yatafanyika kama CCM. Ni kama vile unaacha kazi na unapata kazi nyingine na kutegema same job descriptions. Ni ujuha wa hali ya juu sana... utapeli wa kisiasa aache kwa kweli...Aache porojo atulie atapata cheo kwani ccm hakuna shida ya uongozi?
Kweli mkuu, sasa imagine mtu kama huyu unampa CHAMA, si anakiuza tu asubuhi wakati wa supu!!Tatizo kubwa la ccm na vibaraka wao ni Mbowe wanashidwa kumwondoa ili waweke vibaraka wao kuuwa chama, walijaaribu kwa kumtumia Mwambe,, Sumaye, Nyalandu na wengine ili kupanda mtu wao na chadema mbinu hizo wanazijua
Sikujua kumbe huyu jamaa hata uwezo wa kujenga hoja hana, sijui alikwenda kufanya nini pale 360...Anakimbia CCM kwenda CDM na kutegemea kwamba mila, destruri, taratibu , dua , sara na mengine yoyote, yatafanyika kama CCM. Ni kama vile unaacha kazi na unapata kazi nyingine na kutegema same job descriptions. Ni ujuha wa hali ya juu sana... utapeli wa kisiasa aache kwa kweli...
Kama aliuza twiga angeshidwa kuuza chama, na kwenda na aunt ezekiel marekaniKweli mkuu, sasa imagine mtu kama huyu unampa CHAMA, si anakiuza tu asubuhi wakati wa supu!!