Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyalandu hana hata chembe ya akili. Hivi mfumo wa fomu moja tu nao ni mfumo?Mfumo wa fomu moja bila copy, ukitaka kugombea unafukuzwa huo ndiyo mfumo?
Chadema wagombea walikuwa wangapi wa nafasi ya urais shidi ya dictator mmoja ccmNyalandu hana hata chembe ya akili. Hivi mfumo wa fomu moja tu nao ni mfumo?
Haya atwambie leo wagombea wa uenyekiti wa CCM Taifa juzi walikuwa wangapi? Kwa nini?
Aelewe pia kwamba CCM viongozi wa juu wako safi lakini kule mikoani na wilayani, kuna watu wanakuponda kwa mawe kwa sababu tu wako CCM.Akiwa 360 Clouds ameliongea hili leo na yuko live mpaka sasa, anasema tatizo lipo kwenye uongozi. Amesema wanachama wa chini kabisa hawana tatizo kabisa, matumaini yao yanaharibiwa na uongozi wa juu.
Angalizo: Mbowe uongozi wako umeshindwa vibaya sana, achia ngazi
=======
“Nilipoenda nchi ya ugenini (CHADEMA) wimbo ulikuwa haumbiki kwa namna ambavyo nilikuwa naangalia matukio, ilipotokea Mheshimiwa Rais anaumwa kuna baadhi ya viongozi walijitolea wakasema huyu hafai aondoke tufurahi, ilikuwa inanikwaza kupita kiasi”
“Niliposafiri kwenda Chato kuzika mashambulizi ambayo yalikuwa yananipata, hayakutoka kwa wana-CCM, hayakutoka kwa wana-CHADEMA wa kawaida, yalitoka kwa baadhi wenye msimamo mkali, unamshambuliaje mtu alieenda kuzika kiongozi wake wa nchi?"
“Wakati wa matatizo ya Lissu mimi binafsi sikujali kwamba ni CHADEMA, nilimuona ni Mtanzania ni kiongozi mwenzangu kule Singida, nakumbuka hata Mhe Rais alienda pia kumuona. Lakini wanachama wa CCM kuanzia Rais hadi viongozi hakuna aliepiga simu au kututukana”
“Kuna mitihani ilitokea kwenye uchaguzi, kulikuwa na chaguzi za aina mbili, moja ilikuwa kupigiwa kura kwenye kamati, tunaenda kwenye Baraza Kuu. Kwenye Kamati Kuu Nyalandu alipata 100%, nilimgaragaza kweli kweli, kilichotokea viongozi wakasema Nyalandu asije akawa kama Lowassa”
“Uchaguzi wa mgombea ubunge Singida Kaskazini, wajumbe wamefika usiku ule kuanzia saa kumi na mbili watu wananipigia simu wananiambia mbona mgombea Urais wako hakutaki anasema kidogo umkoseshe kugombea Urais kule Dar es Salaam”
“Wana-CHADEMA watu wa kawaida wengi ni watu wazuri, ni watu ambao wanatamani nchi bora, ambacho wanawazidi wana-CCM wewe itisha mkutano watakuja kwa mguu, watatoka walikotoka, watajitolea katika hali ambayo hutoamini”
“Siasa sio matusi, siasa sio kukoseana heshima, sio kutukana kiongozi wa nchi, siasa sio kuwatukana wale unaotofautiana nao, ni kusema hoja zako mbadala”
“Chama Cha Mapinduzi kimejaliwa mfumo, kilivyotengeneza itifaki ya chama, namna ambavyo walitengeneza mfumo wa kutoa dukuduku zako, mfumo wa kuchaguana. Kina strength ya mfumo, naamini imani ya watu tukipeleka kwa public, mwananchi wa kawaida anatoa kura” -
Mpuuzi tu huyo. Kwanza Kamati kuu hachagui wagombea, inapendekeza majina... Na wote tunajua CDM walikua na majina 3....Bora angesema kuwa alidhulumiwa kura kwenye baraza kuu."..Nyalandu alipata 100 wajumbe walikuwa 30 nilipata kura zote Tundu Lissu alipata kura 24 nilimgalagaza kweli kweli" . Ebu nieleweshe hii hesabu.
Na huko kwingine kuna nafasi haziombwi! Siku zikiombwa, tafakari kitakachotokeaNchi hii Dictator number 1 ni Freeman Aikaeli Mbowe huyu siku Mungu akimuita utazuka ugomvi mkubwa sana wa kugombea madaraka Chadema kati ya familia na ukoo wa Mbowe na wanaharakati uchwala kina Lissu na wenzake.
![]()
![]()
kwa msaada wa BASATA na wasanii wake![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Humtaki Mbowe .. nenda kagombee nafasi yake.Ndezi kweli wewe, hujui hata kilichoandikwa...
Twiga!Tatizo la Chadema ni uongozi, tatizo la CCM ni nini? hadi ukakimbia uko na kuacha ubunge?
Ni maccm tu ndiyo mlikabidhi akili zenu kwa yule aliyeko motoni sasaUngejuaje sasa wakati ubongo wako anao Mbowe
Anasahau kuwa na yeye alikua Kiongozi! Pumbu-fu zake kabisaTatizo la Chadema ni uongozi, tatizo la CCM ni nini? hadi ukakimbia uko na kuacha ubunge?
Ongezea tusi lingine. You lack manners!Humtaki Mbowe .. nenda kagombee nafasi yake.
Punda pori wewe
Ni bora huyo dictator kuliko hao vinjaa njaa hebu pata picha Nyalandu leo hii angekuwa Mwenyeketi wa chama si tungekua tushauzwa mpaka wanachama wenyewe kama walivyouzwa TLP na NCCRNchi hii Dictator number 1 ni Freeman Aikaeli Mbowe huyu siku Mungu akimuita utazuka ugomvi mkubwa sana wa kugombea madaraka Chadema kati ya familia na ukoo wa Mbowe na wanaharakati uchwala kina Lissu na wenzake.
Hapana wapo wengi wenye akili kumzidi tatizo wananjaa sana. Visenti kidogo tu wanauza chama imagine Halima Mdee au Bulaya mmoja wapo angepewa uenyekiti ingekuwaje ? Wangeuza sio chama tu wangetuuza mpaka wanachama wenyeweChadema wote mmekosa akili ya kuongoza Chama ni Mbowe tu mwenye akili?