Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu vs Ramadhani Ighondu kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge jimbo la Singida Kaskazini

Huyo ighodu damu zinamtesa na bado zitamtesa kwa mauaji aliyotumwa n meko and co
 
Lissu katika ubora wake wa kufitinisha na chuki, m maana hakuna hoja ndani ya andiko hilo kama alivyojitangaza kuwa yeye ni mwanasheria mahiri hivyo anastahili kuongoza nchi hii. Rejea bandiko lake hili.
Uchaguzi 2020 - Kwanini Tundu Lissu anaweza kuwa kiongozi mzuri wa Taifa?

Kwa nini nasema ni Lissu? Kauli zake kwenye safari za kuomba udhamini, za kufitinisha na kujenga chuki, hazitofautiani na bandiko zake humu JF tangu ajiunge (15/8/2020) km hii hapa Uchaguzi 2020 - CHADEMA Kibamba Wote kwa umoja wenu nendeni msindikizeni Mgombea wenu kuchukua fomu
 
Hili jina sio geni hasa kipindi kile cha sakata la Dr. Ulimboka
 
Muuaji na mtekaji Ramadhani Ighondu, siyo mtu wa kupewa hata uongozi wa mtaa. Muuaji kwake ni gereza la Isanga.

Kumleta muuaji Ramadhani kuomba kura, ni kuwatukana wananchi. Hivi CCM na Rais Magufuli wanawaonaje wananchi? Ubunge umegeuzwa kuwa zawadi kwa wauaji na watekaji?

Lazima tukatae kufanywa roho zetu kuwa hazina thamani.

Kama haitawezekana kumtaja hadharani kuwa mtu huyu ni muuaji, zitafutwe mbinu ambazo zitawezesha kila mpiga kura wa jimbo hilo kuweza kutambua CCM imewalatea mgombea wa namna gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo huyo. Ni kijana wangu kuna mwengine Frenki Ila Rama kazidi ukatili Frenki Sasa hivi karudi kutoka ubelgiji alipokuwa stationed.
Kuna connection yeyote na kurudi kwa TL, naye Frenki kuja endeleza kazi nyumbani? Swali tu
 
Mara [emoji817] nyarandu kuliko kuongeza wasiojulikana bungeni wanalewa sana madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…