Uchaguzi 2020 Lazaro Nyalandu vs Ramadhani Ighondu kinyang'anyiro cha kuwania Ubunge jimbo la Singida Kaskazini

Wanamlipa fadhila kwa aliyowafanyia,hii ni dhihaka kwa watetea Haki za Binadamu.CCM inaweza kutenda maovu lakini wanaamua watakavyo dhidi ya Wananchi.Kuna wagombea wasiokuwa na uadilifu,watoa rushwa,wahalifu na wasiokuwa na maadili ila tunashurutishwa kuwapa uongozi,Watanzania siyo wajinga hata kidogo.
 
Majimbo ya Singida yote yanaenda Chadema kwa nguvu ya Tundu Lissu ila majimbo ya hospital ya mirembe yataenda CCM.
naiona CCM ikitweta kila kona, ile njia yao ya kuiba kura kwa mafungu mwaka huu HAIPO. kama wakilazimisha wanajua kitakachowatokea.
 
Msisahau Msimamizi wa uchaguzi amepewa gari, polisi na mshahara na Jiwe.
 
Mijitu kama ninyi mnaotumia vichwa kufugia nywele nakubebea masikio ni hasara kwa Familia yako na Nchi ingekuwa kweli kaiba mungu wako jiwe angemuachq?

Ndiyo kila mtu anashangaa mtu ana vyombo vyote vya dola halafu utasikia fulani kaiba lakini hapelekwi mahakamani ni kuchafua watu bila sababu yoyote
 
Sasa huyo gaidi ataenda kuomba kura kwa Nani kama alimtekamtu anayetetea afya Za wananchi?

Unamdhuru Docta? Mtu ambaye kwa namna moja au nyngine yupo kwenye benchi la ufundi la Muumbaji.

Au wew hutakaa uumwe? Shit!
Yaani mtu aliyepambana kusitisha mgomo wa madaktari na kuokoa maisha ya maelfu ya watanzania leo kawa gaidi? hamko sawa
 
Yaani mtu aliyepambana kusitisha mgomo wa madaktari na kuokoa maisha ya maelfu ya watanzania leo kawa gaidi? hamko sawa upstairs.

Kutesa na Kumng’oa mtu meno bila ganzi ndiyo kuokoa maisha, inawezekana hata humu JF kumejaa wasiojulikana
 
Ramadhani Ighondu toka TISS na toka Police alikuwa Ahmed Msangi ndiyo walikuwa wanakamilisha safu ya utekaji. Iko siku Mungu atawalipa kwa walivyomtesa Dr Ulimboka
 
Huyu ramadhani ndo yule anayehusika na dhambi za utekakaji na kutesa binadamu wenzake, sasa ndo anakuja na kwenye siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…