Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

Lazima huwa unafanya moja ya vitu hivi unapohisi hakuna anaekuona!

1.Kunusa baadhi ya maeneo ya mwili wako kuona kama yanatoa harufu!, mara nyingine unajikuna kisha unapeleka mkono puani kuona ni harufu gani utaskia.

2. Kuigiza kama unafanyiwa interview. Unajiuliza maswali kadhaa na kujijibu kwa kujiamin huku unatabasamu kana kwamba kuna mtu anakuona.

3. Kutoa uchafu puani kwa kutumia kidole kwa dakika kadhaa, na mtu akitokea ghafla, unajidai unakuna shavu!

4.Kula haraka haraka kwa kificho (tunda, kitafunwa nk) ofisini, nyuma ya mlango nk na kujifuta mdomo ili asigundue mtu!

5. Kutengeneza Sura mbalimbali mbele ya kioo na kuangalia unaonekanaje!



6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi kwenye jamii yetu!

7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga

8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono! Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni

9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine ungekula kwa siku kadhaa taratibu




Tuambie ni nini huwa unafanya ukiwa mwenyewe hapo chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
so unayavuta yale mashavu mawili.km masikio ya sungura na kuyaachia hapo unajisikiaaaa utamuuuu zen unajipiga dole na unanusa ule urojo urojo mwenywe unajisikia raha isio na kifani
[emoji115] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wanawake waliosuka rasta mara nying utakuta anaingiza kidole katikati ya kichwa anajikuna au anapiga piga kichwa kwa mikono mwenyewe ukitokea vuuuu anazuga zuga kama anarekebisha nywele vile
[emoji15]
Hii ata mbele ya watu nafanya
 
Kukaa mda mrefu choon ukimalz haja kubwa mfn ukiwa unafikiria kitu kikanog unawez maliz kushusha mzgo but bdo ukawa umechuchumaa tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom