holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
yaani... Me mpk muda huu nakula kuchaKula kucha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaani... Me mpk muda huu nakula kuchaKula kucha...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiwa kwenye chumba cha mtihan then paper gumu kinoma unabaki unakodoa macho ukiona mwalimu anakuja unajifanya unali solve
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1.Kunusa baadhi ya maeneo ya mwili wako kuona kama yanatoa harufu!, mara nyingine unajikuna kisha unapeleka mkono puani kuona ni harufu gani utaskia.
2. Kuigiza kama unafanyiwa interview. Unajiuliza maswali kadhaa na kujijibu kwa kujiamin huku unatabasamu kana kwamba kuna mtu anakuona.
3. Kutoa uchafu puani kwa kutumia kidole kwa dakika kadhaa, na mtu akitokea ghafla, unajidai unakuna shavu!
4.Kula haraka haraka kwa kificho (tunda, kitafunwa nk) ofisini, nyuma ya mlango nk na kujifuta mdomo ili asigundue mtu!
5. Kutengeneza Sura mbalimbali mbele ya kioo na kuangalia unaonekanaje!
6 Kutoa Hewa chafu kwa sauti (Farting Loud). Hii hairuhusiwi kwenye jamii yetu!
7.Kutoa Haja ndogo wakati wa kuoga
8 Kufanya baadhi ya vitu kwa kutumia miguu badala ya mikono! Kufunga mlango au Kuokota vitu kwa kutumia vidole vya mguuni
9. Kula paketi nzima ya chakula Fulani ambayo pengine ungekula kwa siku kadhaa taratibu
Tuambie ni nini huwa unafanya ukiwa mwenyewe hapo chini
HaulijuhusuUnajipiga madole ?
[emoji115] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]so unayavuta yale mashavu mawili.km masikio ya sungura na kuyaachia hapo unajisikiaaaa utamuuuu zen unajipiga dole na unanusa ule urojo urojo mwenywe unajisikia raha isio na kifani
Aaah siunanijua tena bby Sema nikiwaga na wewe huwa unanisaidiaga basi rahaa mustareheKama ninavyokuona.
Wala ataHuku unatafakari ambavyo huwa inapata shuruba kwa mkuyati tehe
😱😱.... Kwemaa...Aaah siunanijua tena bby Sema nikiwaga na wewe huwa unanisaidiaga basi rahaa mustarehe
minyooKijipga dole kwenye haja kubwa hasa ukiwa na ule ugonjwa wa kuwasha kwa nje bawasira
Hii ata mbele ya watu nafanyaWanawake waliosuka rasta mara nying utakuta anaingiza kidole katikati ya kichwa anajikuna au anapiga piga kichwa kwa mikono mwenyewe ukitokea vuuuu anazuga zuga kama anarekebisha nywele vile
[emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kukaa mda mrefu choon ukimalz haja kubwa mfn ukiwa unafikiria kitu kikanog unawez maliz kushusha mzgo but bdo ukawa umechuchumaa tuu
Wapi😱😱.... Kwemaa...
kwa hyo siyo kwemaWapi