Lazima ifike wakati sheria iwe wazi na Dabi ifanyike mahali hakuna timu mgeni wala mwenyeji!

Lazima ifike wakati sheria iwe wazi na Dabi ifanyike mahali hakuna timu mgeni wala mwenyeji!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Wadau wa Michezo,
Ninayo yangu ya kushea!
Ndugu wenye mamlaka ya Mpira hapa Tanzania ni TFF na Bodi ya ligi Tanzania,na kwa mamlaka ya Michezo Tanzania ndipo tunamkuta Baraza la Michezo Tanzania (BMT), na zaidi Wizara husika!
Ni nini maana yake?
Hawa watu Inatakiwa wafanye kazi kwa pamoja japo Shirika la Mpira Duniani (FIFA) Katika kanuni zake Linakaza kabisa Serikali kujihusisha na vyama vya michezo katika nchi husika! Hoja yangu ni kwamba hizi taasisi za mpira wa miguu lazima washirikiane na serikali kuandaa sheria za mpira zinazo underline katika katiba ya nchi na zenye manufaa kwa wananchi siyo kuwa na kanuni ambazo hazina manufaa kwa wananchi kwa misingi ya kulinda maslahi ya vyama yenye mamalaka ya Mpira Tanzania ni wakati Walijua haki ya shabiki wa mpira nchini! Hivi leo ni nani atatakiwa kulipa gharama za Mashabiki waliotoka Kigoma,Kagera,Mwanza,Musoma,Mbeya?Rukwa! Na baadhi ya mikoa yote? Hapa niwashauri Dabi ya Kariakoo hizi timu mbili ifanyike mahali ambapo hakuhitaji timu mwenyeji wala timu mgeni! Kama ni uwanja wa mkapa kila timu inajua uwanja wa Mkapa!! uwanja ukoje hivyo siku ya mchezo wanaenda kucheza tu hakuna mtu kuruhusiwa kuingia kabla! Hii itaondoa dhana mzima ya ushirikina!
 
Huu ni upumbavu, yani upumbavu wote huo n kisa n simba na Yanga, yn mmewafanya wawe kama mungu ndo mana wanaamua watakavyo.
 
Back
Top Bottom