ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Me huwa usiku ndo najiwazia stori za utajiriMimi nikiwa kwenye situation hio najitungia hadithi najisimulia mpaka na fika ninapoenda...
Hazina kuna nn tena huko kimefanyikaKama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle..sasa kama ya boda huna si inabidi...
Mwanangu ANNA hata saa nane za ucku alafu freshiii tu n mwana sanaa
Ndio maana unachelewa kulala🤣🤣🤣Mimi nikiwa kwenye situation hio najitungia hadithi najisimulia mpaka na fika ninapoenda..
Usiku nao nina kuwaga na stori, ila usiku nakuwa natafakari siasa zaidi, siasa zilivyo ngumu najikuta saa sita hii hapa!Ndio maana unachelewa kulala🤣🤣🤣
Jina na lipenda sana, jamaa anapata mke mwenye jina nzuri, kuna namna likitajwa kwa ufupi halafu kwa lahaja kichaga inamvuto sana.Adventina
Aaah kwisha habari yako!Usiku nao nina kuwaga na stori, ila usiku nakuwa natafakari siasa zaidi, siasa zilivyo ngumu najikuta saa sita hii hapa!
Bado sana aisee.Aaah kwisha habari yako!
Ni mwana au mali yako hiyo ya kuipiga miti?Mwanangu ANNA hata saa nane za ucku alafu freshiii tu n mwana sanaa
Hakika mkuu mm mwenyew hlo jina nalipenda sana bas tu.Jina na lipenda sana, jamaa anapata mke mwenye jina nzuri, kuna namna likitajwa kwa ufupi halafu kwa lahaja kichaga inamvuto sana.