ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kama sasa hivi ngoma livyo ngumu mifumo ya kihasibuhuko hazina imefungwa unajikuta hata buku ya boda huna au hela ya bundle. Sasa kama ya boda huna si inabidi uprint na miguu safari yako. Sasa katika kutembea huwa hakosekani best yako au mpenzi mmoja ambaye kama una madakika ya kumwaga lazima umpigie uyapoteze ilimrad tu barabarani usione jau.
kujifanya unaongea vya maana kumbe stori zilezile mnazirudia kila siku mnapangana mixer kupeana matumaini na faraja katika maisha..unajikuta umeshafika safari yako kuliko kutembea acapela bila hata kuongea na simu ndo kabisa stress na mawazo zinazidi.