LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji

LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji

Status
Not open for further replies.
Kuna watu inafika muda hata mkikutana inabidi ujifanye uko busy au una haraka sana ili tu usimpe muda wa kuendelea kukushawishi.

Kibaya unakuta mtu mwenyewe mnaheshimiana.

Igeni kwa wanaobeti, japo kuna kupiga na kupigwa lakini huwa hawashauri mtu. Tena ukienda kuomba ushauri ujifunze kutia mkeka, atakwambia huku usije.
 
Binafsi nimejiunga nikijua ni piramid scheme maana zimekuwepo kabla na zikatowea. Ukitaka kumchinja Kobe ni timing. Niliwela 540000 . Mpaka sasa nimetoka 1,240,000.. hata ikizimwa kesho sijapoteza. Kitu
 
Kuna jamaa yangu kanipigia jana ananiambia hii furusa, nikamwambia sawa apambane ikija furusa lazima ujaribu either upate or ujifunze. Nilimjibu hivyo baada ya kuniambia kaamua kujilipua kwa kuwekeza Fedha kiasi kama mil 13(kashawekeza). Sikutaka kumwambia ukweli maana kashaweka pesa ndio ananishauri na mm nijiunge. Nimeishia tu kumsikitikia rohoni.

Baada yakuongea akaona anitumie na video kutoka ITV, inayozungumzia hio furusa.
View attachment 3225774
Mbona hii video imetengenezwa Inshot ....
 
Duh
 
Unaweza kunisaidia inavyowezekana kuzalisha asilimia kumi ya mtaji kwa siku.
Hawezi kuwa na hilo jibu la swali lako. Jiulize hivi kwa nini kama kuna 2% ya faida kwa siku kwa nini CRDB wamkopeshe mtu ili kupata interest ya 13% kwa mwaka. Kwa nini wasiweke hela zao zote huko ili wawe wanapata hiyo 2% kwa siku badala ya kusubiri 13% kwa mwaka??

Iko hivi, ikitaka kumchinja kuku huwa tunamrushia mahindi huku tukielekea ndani. Akiingia tu, ameisha
 
Wacha watapeliwe wao
Wakitapeliwa wewe unapata hasara gani?
Hata kama ni kweli ni kampuni ya kitapeli sidhani kama kuna unalolipoteza
Wacha watapeliwe watajifunza kupambana na yanayowahusu
... una roho mbaya aisee!
Anyway wajinga lazima watakuwepo, maana sio wote tulioonja chungu ya 'PONZI' zilizotangulia, na 'KILA SIKU KUNA MABWEGE YANAZALIWA!'
Kwahiyo, kama ni mdau, faidika na toa ELIMU Kwa wajingawajinga!
 
why you want some more details while chatGPT already explained to you..?
or you feel like you're going to loss an opportunity isn't it..?
Mkuu, katika kuprove mambo naamini watu halisi zaidi kuliko chatGTP
 
FB_IMG_1739608325260.jpg
 
Acha wanyooke mkuu, hii nchi bado inawajinga wengi mno
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom