LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji

Status
Not open for further replies.
Kampuni ya kuwekeza hela alafu unatumiwa clip treilers unatazama alafu unalipwa. Lakini Kuna ushahidi wa kutosha kua ni pyramid scheme a.k.a utapeli wa upatu imeanza mwaka Jana na Bado inaendelea lakini soon kitawaka watu watalia milio ile ile ya DECI, KALYANDA, Mr. KUKU nakadhalika
 
Kila kitu mmekua waoga kama watumwa,mbona watu wanabet mikeka kibao inachanika hamsemi,as longer Iko legel,Mimi sirudi nyuma,ni kugonga maokoto,sababu hata nikiwa scammed.
tayari mshiko niliowekeza originally umesharudi sasa Vodacom husema kazi ni kwako.
 
you call yourself trainee, so wait for a trainer to train you on how to be scammed!!..😁
He came to me with his stories, the person kept talking more and more but I didn’t understand him. I just responded, "Alright, let me get some money first, then I'll get back to you."

After that, I took some of his details and asked ChatGPT. That’s when I found out it was warning me, giving examples like DECI and other scammers who had previously conned people.

Looking at the person himself, you wouldn’t even suspect him.šŸ˜‚
 
why you want some more details while chatGPT already explained to you..?
or you feel like you're going to loss an opportunity isn't it..?
 
Ni suala la muda tu wakifika target mtasikia vilio kwanza wataongeza offa watu wajimwage na mapesa
 
Kampuni ya kuwekeza hela alafu unatumiwa clip treilers unatazama alafu unalipwa. Lakini Kuna ushahidi wa kutosha kua ni pyramid scheme a.k.a utapeli wa upatu imeanza mwaka Jana na Bado inaendelea lakini soon kitawaka watu watalia milio ile ile ya DECI, KALYANDA, Mr. KUKU nakadhalika
...Bwana Manguruwe...et al
 
Watu wanajazana F.I.C kwa sasa.

Yaani nikafatilia nikagundua sijui hizo correct score ni geresha.

Hela mnatumiana nyue kwa nyie.

Yaani wakati ww unataka kuweka mwingie anataka kutoa kiasi kama hicho so unamtumia yeye.
Maana hawana namba ya malipo kama kampuni. Namba zinakuwa generated kila ukitaka kuweka namba inakuja ya mtu mwingine.

Yaani ww uchagua matokeo ya match ngumu kutoa. Halafu hata ukikosa stake yako inabaki.
 
Kumbe ni jamii ya betting huu mchezo?
 
Hii ni pyramid scheme nzuri sana ukianza nayo itakapokufa utavukana sana Mimi binafsi Nimeanza nayo Kwa kuweka 1089k sasa Nina mwezi wa nne navuna 36000 kila siku ni almost 4.3 ikifa Leo sina hasara
hizi scheme dawa yao ni hiyo. wahi kuingia ili mpaka wanatoweka wewe umeshachukua chako
 
Kuna mitoto ya chuo huku..
Ime diposit mpaka laki tano...

Kuna mitoto ni ya kupiga na kupanda kabisa.
Pipo kichwani zialnaacha kufanya kazi zinategemea kupata pesa kwa mtelezo tuu maninaaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom