Cohenlukinga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 279
- 352
Muda ushaenda mkuu ,maana wameanza tangu mwaka jana na sifa kubwa ya haya makampuni ya kitapeli hawawezi kaa muda mrefu sana,hivyo muda wowote watakimbia na pesa za watuNina mjomba wangu ananishawishi sana nicheze
Wapoje haoNjooni FIC huku hakuna utapeli kampuni imesajiliwa yaani unabet kupigwa hamna
Mbona hii video imetengenezwa Inshot ....Kuna jamaa yangu kanipigia jana ananiambia hii furusa, nikamwambia sawa apambane ikija furusa lazima ujaribu either upate or ujifunze. Nilimjibu hivyo baada ya kuniambia kaamua kujilipua kwa kuwekeza Fedha kiasi kama mil 13(kashawekeza). Sikutaka kumwambia ukweli maana kashaweka pesa ndio ananishauri na mm nijiunge. Nimeishia tu kumsikitikia rohoni.
Baada yakuongea akaona anitumie na video kutoka ITV, inayozungumzia hio furusa.
View attachment 3225774
MANINANjooni FIC huku hakuna utapeli kampuni imesajiliwa yaani unabet kupigwa hamna
Pameanza kuchangamkaWajinga ni wengi sana
Ova
DuhKuna jamaa yangu kanipigia jana ananiambia hii furusa, nikamwambia sawa apambane ikija furusa lazima ujaribu either upate or ujifunze. Nilimjibu hivyo baada ya kuniambia kaamua kujilipua kwa kuwekeza Fedha kiasi kama mil 13(kashawekeza). Sikutaka kumwambia ukweli maana kashaweka pesa ndio ananishauri na mm nijiunge. Nimeishia tu kumsikitikia rohoni.
Baada yakuongea akaona anitumie na video kutoka ITV, inayozungumzia hio furusa.
View attachment 3225774
Hawezi kuwa na hilo jibu la swali lako. Jiulize hivi kwa nini kama kuna 2% ya faida kwa siku kwa nini CRDB wamkopeshe mtu ili kupata interest ya 13% kwa mwaka. Kwa nini wasiweke hela zao zote huko ili wawe wanapata hiyo 2% kwa siku badala ya kusubiri 13% kwa mwaka??Unaweza kunisaidia inavyowezekana kuzalisha asilimia kumi ya mtaji kwa siku.
... una roho mbaya aisee!Wacha watapeliwe wao
Wakitapeliwa wewe unapata hasara gani?
Hata kama ni kweli ni kampuni ya kitapeli sidhani kama kuna unalolipoteza
Wacha watapeliwe watajifunza kupambana na yanayowahusu
Mkuu, katika kuprove mambo naamini watu halisi zaidi kuliko chatGTPwhy you want some more details while chatGPT already explained to you..?
or you feel like you're going to loss an opportunity isn't it..?
Kabisa, hawasikiagi ni wabishi sanaAcha wanyooke mkuu, hii nchi bado inawajinga wengi mno