MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
mkuu nasikia wewe ndo baba swaleheeeee..!!!- hahahahahahaha I can live with that so unasema watu wenye akili ndogo bongo wote wana kampuni kama mimi na wana maisha super kama yangu, sawa mkuu hahahahaha ila siwezi kuwa na akili kubwa nikatumia picha za watu nisiowajua na wasionihusu na huku nikitumia majina ya bandia kutukana watu nisiowajua na wasionihusu, unasema kuwa kama wewe ni kua na akili kubwa? hahahahahaha NAFWAZZZZ
le Mutuz
mkuu nasikia wewe ndo baba swaleheeeee..!!!
Make em money, I don't have a car bro , I am not a superstar bro you know but soon I will bro , good luck to all your trips- Kesho Nairobi, nikirudi South Africa and then Dubai kufanya kazi za Social Media U know, ninapoendesha my SUPER NOAH nawaona wananchi kibao wasiokuwa na magari ninataka kuamini unalo hahahaha maana wakiitwa wenye magari ninaenda kama huna sijui itakuwaje hahahahahahahaha
le Mutuz
kaka ebu tupia na le picha ya double tree by hilton ukipasha le ubongozz na mug ya coffee- ni THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA NETWORK kesho nitakuwa Nairobi kikazi so relax utaoata habari kamili U know!! si unajua ni Big Celebrity
le Mutuz
Make em money, I don't have a car bro , I am not a superstar bro you know but soon I will bro , good luck to all your trips
With Neyo You know- Thanks boss halafu nikitoka Dubai itakuwa Safari ya Mwanza kwenye Jembeka Festival so as you can see I am busy U know
le Mutuz
huyu nimgogo au mhaya aya majigambo?
With Neyo You know
- Huu ndio pure umburulazzz, Mzee Kitilya, Sioi na Shose wanatuhumiwa kwa kesi moja hivi kweli unadhani hawana watu wao wanaowapigania kuwatoa mpaka wanisubiri mimi? Are you serious or you just kidding? hahahahahah
le Mutuz
Hahahaaaa.... umenifurahisha sana.Hilo jitu hata ccm wenyewe hawalitaki tena kwenye vikao vyao maana wanajua halikawii kutupia picha hata Kama watakubaliana ni kikao cha Siri
Lini utapiga picha na mtoto wako? U know I like her,,,she is beautifully nataka kumuoa- Ni lugha ya ki Celebrity kwako inakuwa majigambo ni kwamba kesho ninaenda Nairobi kikazi ya Social Media, nikirudi naenda South Africa kikazi and then Dubai kikazi, wapi kuna majigambo hapo? hahahahaha ni lugha ya ki celeb
le Mutuz
I hope you'll be there... Le Mutuz.- Neyo and Diamond patachimbika Kirumba stadium
le Mutuz
Full swaggs hahahaaa....Lini utapiga picha na mtoto wako? U know I like her,,,she is beautifully nataka kumuoa
U know I'm akill kubwazz like u ndege warang moja lee gademu mbebezzzz nimkali
huyu mtu ana akili timamu au ana viraka vya akili?
Le Mutuz sio unajibu kila kitu, mengine unaacha tu na kuendelea na shughuli zako u know!
Lini utapiga picha na mtoto wako? U know I like her,,,she is beautifully nataka kumuoa
U know I'm akill kubwazz like u ndege warang moja lee gademu mbebezzzz nimkali
WE KWELI NI MGOGO ULIYE KOSWA NA UKURUTU LAZIMA UJITAMBE VINGINEVYO UNGEWKUWA FAYA UNAkinga mikono, watu tunakutupia vimia, jipinde mgogo uliyenusurika kuwa omba omba, ila ninawas wasi uko nje unakokwenda usje ukawa ujiperka maana hata bongo wateja wapo- hahahahahaha wamekupa ukiranja wa kuwaamulia watu hapa JF what to do? duh hahahahahahahaha
le Mutuz