MZEE MSASAMBEGU
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 2,780
- 2,555
mkuu nasikia wewe ndo baba swaleheeeee..!!!- hahahahahahaha I can live with that so unasema watu wenye akili ndogo bongo wote wana kampuni kama mimi na wana maisha super kama yangu, sawa mkuu hahahahaha ila siwezi kuwa na akili kubwa nikatumia picha za watu nisiowajua na wasionihusu na huku nikitumia majina ya bandia kutukana watu nisiowajua na wasionihusu, unasema kuwa kama wewe ni kua na akili kubwa? hahahahahaha NAFWAZZZZ
le Mutuz