Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Le Mutuz aenda kumsalimia Shose Sinare gerezani

Status
Not open for further replies.
- hahahahahahaha I can live with that so unasema watu wenye akili ndogo bongo wote wana kampuni kama mimi na wana maisha super kama yangu, sawa mkuu hahahahaha ila siwezi kuwa na akili kubwa nikatumia picha za watu nisiowajua na wasionihusu na huku nikitumia majina ya bandia kutukana watu nisiowajua na wasionihusu, unasema kuwa kama wewe ni kua na akili kubwa? hahahahahaha NAFWAZZZZ

le Mutuz
mkuu nasikia wewe ndo baba swaleheeeee..!!!
 
- Kesho Nairobi, nikirudi South Africa and then Dubai kufanya kazi za Social Media U know, ninapoendesha my SUPER NOAH nawaona wananchi kibao wasiokuwa na magari ninataka kuamini unalo hahahaha maana wakiitwa wenye magari ninaenda kama huna sijui itakuwaje hahahahahahahaha

le Mutuz
Make em money, I don't have a car bro , I am not a superstar bro you know but soon I will bro , good luck to all your trips
 
Make em money, I don't have a car bro , I am not a superstar bro you know but soon I will bro , good luck to all your trips

- Thanks boss halafu nikitoka Dubai itakuwa Safari ya Mwanza kwenye Jembeka Festival so as you can see I am busy U know

le Mutuz
 
huyu nimgogo au mhaya aya majigambo?

- Ni lugha ya ki Celebrity kwako inakuwa majigambo ni kwamba kesho ninaenda Nairobi kikazi ya Social Media, nikirudi naenda South Africa kikazi and then Dubai kikazi, wapi kuna majigambo hapo? hahahahaha ni lugha ya ki celeb

le Mutuz
 
- Huu ndio pure umburulazzz, Mzee Kitilya, Sioi na Shose wanatuhumiwa kwa kesi moja hivi kweli unadhani hawana watu wao wanaowapigania kuwatoa mpaka wanisubiri mimi? Are you serious or you just kidding? hahahahahah

le Mutuz

Le Mutuz sio unajibu kila kitu, mengine unaacha tu na kuendelea na shughuli zako u know!
 
Hilo jitu hata ccm wenyewe hawalitaki tena kwenye vikao vyao maana wanajua halikawii kutupia picha hata Kama watakubaliana ni kikao cha Siri
Hahahaaaa.... umenifurahisha sana.
 
- Ni lugha ya ki Celebrity kwako inakuwa majigambo ni kwamba kesho ninaenda Nairobi kikazi ya Social Media, nikirudi naenda South Africa kikazi and then Dubai kikazi, wapi kuna majigambo hapo? hahahahaha ni lugha ya ki celeb

le Mutuz
Lini utapiga picha na mtoto wako? U know I like her,,,she is beautifully nataka kumuoa
U know I'm akill kubwazz like u ndege warang moja lee gademu mbebezzzz nimkali
 
Nilikukubali sana kwenye ule uzi wa gazet la Mawio ulisema watafungiwa kwa insu ya Makonda kumfunga viatu Riz
 
huyu mtu ana akili timamu au ana viraka vya akili?
 
Lini utapiga picha na mtoto wako? U know I like her,,,she is beautifully nataka kumuoa
U know I'm akill kubwazz like u ndege warang moja lee gademu mbebezzzz nimkali
Full swaggs hahahaaa....
 
huyu mtu ana akili timamu au ana viraka vya akili?

- Ndio maana mnaitwa nyumbu sasa wewe kweli mtumzima na akili timamu unakuja kushidana na mwenye akili ya viraka na unasema kweli? hahahahaha sasa wewe kweli ni mzima wewe? hahahahaha

le Mutuz
 
Lini utapiga picha na mtoto wako? U know I like her,,,she is beautifully nataka kumuoa
U know I'm akill kubwazz like u ndege warang moja lee gademu mbebezzzz nimkali

- Huwa siongelei watoto wangu kwenye Social Media never, so umekosea on that hahahahahahaha

le Mutuz
 
- hahahahahaha wamekupa ukiranja wa kuwaamulia watu hapa JF what to do? duh hahahahahahahaha

le Mutuz
WE KWELI NI MGOGO ULIYE KOSWA NA UKURUTU LAZIMA UJITAMBE VINGINEVYO UNGEWKUWA FAYA UNAkinga mikono, watu tunakutupia vimia, jipinde mgogo uliyenusurika kuwa omba omba, ila ninawas wasi uko nje unakokwenda usje ukawa ujiperka maana hata bongo wateja wapo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom